Top 6 Most Romantic Men in Africa

Top 6 Most Romantic Men in Africa

Wanaume wakenya hawana cha kujivunia hapa
 
Cha msingi ni utendaji, maana mademu wenu tunawachukua sana, tembea Kenya uone jinsi wameolewa wengi. Tukiwa Dar huwa tunawapa romance hadi wanachanganyikiwa, nyie mnabaki wivu tu.
 
Hakuna lolote, papuchi za wakenya zina maji kinoma
 
Hili la mademu tusibishane, Wabongo hamna lolote ila chips mayai na viroba. Mpo hoi hata hamtajiki kokote kwenye michezo, ikiwemo Olympics. Mademu wenu wana kiu sana maana wanaume hawapo tena, akikumbana na Mkenya, yaani anabaki kupenda tu.
 
Kushiriki olympics sio SI unit ya kujua performance ya mtu.

Mademu wenu hawana mvuto ndo mana mnajazana bongo kuopoa vimwana.

Unakuta demu wa kenya kakomaa akigonga hodi mlango unapata ufa
 
Ha ha ha! Acha ujinga.
 
Kushiriki olympics sio SI unit ya kujua performance ya mtu.

Mademu wenu hawana mvuto ndo mana mnajazana bongo kuopoa vimwana.

Unakuta demu wa kenya kakomaa akigonga hodi mlango unapata ufa

Aha! ndio hilo tatizo lenu sasa, kulaumu mademu kwa udhaifu wenu. Ukishajiona mdhaifu unaanza kutafuta kila mbaya kwa demu. Kwa ushauri wangu
- Wacha kabisa chips mayai
- Wacha beer, viroba ... labda wine kiasi
- Chapa zoezi mara nne kwa wiki
- Kula vyakula vya kiasili na mchina, pia kula mbegu za maboga (pumpkin seeds, zinaongeza testosterone)
- Kunywa maji kwa wingi
- Kula matunda, haswa maembe (fana utafiti, maembe muhimu)
- Halafu jizoeshe kuona kila nzuri kwa demu
- Pia jizoeshe kumpeleka demu sehemu tofauti tofauti, labda kule Zanzibar ama Kigamboni, yaani badilisha hoteli kila mara

Ukijizoesha haya, utajikuta uko bomba sana kwa mambo ya mademu, hivyo punguza negative outlook towards women. Washauri wenzio vijana wa Kibongo pia.
 
mkuu hahahahaha utamuua ila kiukweli mademu wa kenya ni miyayusho halafu lawmaina78 kashindwa kutofautisha romantic people's na sexy machine kenya wengi ni sexy machine
 
Last edited by a moderator:

Tunaongelea mvuto sio performance. Kwa mvuto East Africa Rwanda na Tanzania hawashikiki. Kwa mbali Kenya na mipingo ya uganda.
 
Naona somo langu bado haulishiki, huwezi kuwa romantic kama utabaki kuwabagua mademu kwa misingi ya mipaka ya nchi, maana biologically hamna tofauti, mzungu ndiye aliyechora mipaka. Mwanaume unapo anza kumbagua mrembo yeyote kwa jinsi yoyote, uromance wako unaisha halafu unabaki machungu, mdhaifu na hoi, na ndio tatizo la wanaume wa Kibongo. Kila ukitulia na jamaa wa Kibongo kwa club, mara nyingi kila linalomtoka mdomoni ni mabaya ya mademu wanaopita. Hii utaiona Dar, Nairobi na kote.
 
mkuu hahahahaha utamuua ila kiukweli mademu wa kenya ni miyayusho halafu lawmaina78 kashindwa kutofautisha romantic people's na sexy machine kenya wengi ni sexy machine

Romance bila shughuli bomba kitandani ni uwongo. Demu hata umnunulie nini, umpende aje, umpe maneno matamu ya aina yote dunia, bila ngoma safi kitandani, mengine yote yatabaki zero.
 
kwani wote walio romance kitandani ni hovyo ?
 
Naona somo langu bado haulishiki, huwezi kuwa romantic kama utabaki kuwabagua mademu kwa misingi ya mipaka ya nchi, maana biologically hamna tofauti, mzungu ndiye aliyechora mipaka. Mwanaume unapo anza kumbagua mrembo yeyote kwa jinsi yoyote, uromance wako unaisha halafu unabaki machungu, mdhaifu na hoi, na ndio tatizo la wanaume wa Kibongo. Kila ukitulia na jamaa wa Kibongo kwa club, mara nyingi kila linalomtoka mdomoni ni mabaya ya mademu wanaopita. Hii utaiona Dar, Nairobi na kote.

Binadamu tupo tofauti sana mkuu, hatuwezi kufanana hata kidogo.
 
Hizi ndo topic zetu wabongo!....kwingine hatutii maguuu..upuzi tu!
 
Cha msingi ni utendaji, maana mademu wenu tunawachukua sana, tembea Kenya uone jinsi wameolewa wengi. Tukiwa Dar huwa tunawapa romance hadi wanachanganyikiwa, nyie mnabaki wivu tu.
hapo umejijibu mwenyewe kumbe wanafuata pesa zenu sio mapenzi.
 
Wewe pimbi nini, wapi umeona neno "pesa". Tatizo lenu maneno ya kingereza yanawapa chenga sana, huelewi maana ya romance, yaani unaona pesa.

Hebu tazama huu wimbo wa Ray C kuhusu kijana wa Nairobi, ndo utajua vile tunafanya mademu wenu wanachizi, yaani wanadata. Huu wimbo aliucheza kabla hajarudi Bongo na kuharibika kwa madawa huko.

CC: kadoda11
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom