Top five fake rappers (MC's)

Top five fake rappers (MC's)

Kwenye hip-hop majadiliano/mabishano ni sehemu ya mchezo, na yeyote anaruhusiwa kuwa na mitazamo yake. Ila kabla ya kujadili au kubishana, inabidi kufahamu uwezo na uelewa wa unayebishana naye kwenye mada husika.

Sasa sijui unaanzaje kubishana kuhusu rap/hip-hop na mtu anayetumia "MC's" pasipohitajika words limit.
 
Fake rappers wakati wanaingiza hela na maisha yao yamebadilika gari nyumba
Ndyo staili yao ya maisha

Hivyo sikubaliani na Mada yako ndugu mwandishi
Tofautisha uwezo na pesa..... kupiga pesa haimaanishi ye ni bora
 
Mleta mada ujui maana ya fake ndo nilichokielewa kutoka kwako mtu kama joh makini ukisema ni fake watakushangaa andaa shoo na wana hip hop unaozani sio fake wafanye shoo na joh utanipa jibu
 
Ufake wao ni upi? Hawaandiki vzr? Hawavai vzr? Hawafuati misingi? .......Na hao real MCs ni wapi na kwa nn?
 
1. Joh makini
2. Nikki wa pili
3. Izzo biznes
4. G nako wara wara
5. God zilla

Kwa upande wng ndo hao...cjui kwako?
hapo watoe joh na niki wa pili alaf waweke stamina na young kiler
 
Ufake wao ni upi? Hawaandiki vzr? Hawavai vzr? Hawafuati misingi? .......Na hao real MCs ni wapi na kwa nn?
Ukitaka niamini kuwa joh na nick wa pili and the rest mentioned above chukua nyimbo zao zisikilize afu zen sikiliza nyimbo za ata one, stereo, young killer zen unipe mrejesho
 
Kabla sijachangia naomba kujua tofauti ya Fake Rapper na Real Rapper
 
Back
Top Bottom