Stephen Mapunda
Member
- Jan 23, 2017
- 5
- 1
Sio mbaya coz n uonavyo wew
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuongelei maisha kaka tunazungumzia mzikiFake rappers wakati wanaingiza hela na maisha yao yamebadilika gari nyumba
Ndyo staili yao ya maisha
Hivyo sikubaliani na Mada yako ndugu mwandishi
Ila god zilla ata mm naona nimemuonea sanaMtoe Godzillah muweke Bonta.
Kama nawaona machalii wa kaskazini walivyofura kwa hasira alifuuuu
Sijui kwanini mada za hiphop madem jf hawachangi1. Joh makini
2. Nikki wa pili
3. Izzo biznes
4. G nako wara wara
5. God zilla
Kwa upande wng ndo hao...cjui kwako?
Roho mbayaAfande Sele
Akiandika wewe utagonga beat humu JF auWe mleta uzi unayemwita niki wa pili na joh makini fake rappers nakupa challenge utuandike walau nusu vesi ya 8 bars tu na chorus yake alafu tuilinganishe na nyimbo yoyote katika discography ya hao uliowaita fake.Muziki hasa wa hip hop sio rahisi kama unavyodhani,joh anaweza asiwe msanii bora kuliko wote wa hiphop na niki pia,lakini huwezi niambia eti ni fake.shame on you.
Ndo apo sasa mkuuAkiandika wewe utagonga beat humu JF au
Biti ziko kibao,atashindwa yeye tu.Akiandika wewe utagonga beat humu JF au
makin??? aaah mleta uz chenji zetu banaFake rappers??!!! Joh Makini [emoji47] [emoji47] [emoji47]