Top five fake rappers (MC's)

Top five fake rappers (MC's)

mi nilijua kuna bidhaa feki tu kumbe hadi wasanii nao ni wa-kichina...
 
Mtoe Godzillah muweke Bonta.

Kama nawaona machalii wa kaskazini walivyofura kwa hasira alifuuuu
 
Fake rappers wakati wanaingiza hela na maisha yao yamebadilika gari nyumba
Ndyo staili yao ya maisha

Hivyo sikubaliani na Mada yako ndugu mwandishi
 
Fake rappers wakati wanaingiza hela na maisha yao yamebadilika gari nyumba
Ndyo staili yao ya maisha

Hivyo sikubaliani na Mada yako ndugu mwandishi
Hatuongelei maisha kaka tunazungumzia mziki
 
We mleta uzi unayemwita niki wa pili na joh makini fake rappers nakupa challenge utuandike walau nusu vesi ya 8 bars tu na chorus yake alafu tuilinganishe na nyimbo yoyote katika discography ya hao uliowaita fake.Muziki hasa wa hip hop sio rahisi kama unavyodhani,joh anaweza asiwe msanii bora kuliko wote wa hiphop na niki pia,lakini huwezi niambia eti ni fake.shame on you.
Akiandika wewe utagonga beat humu JF au
 
Sometimes Natoka Ghetto, Kum-ibukia Demu Fulani,
Nakutana Na Washkaji Kiulaini,
Kitaa Yes Kitaa,
Wanang'aa, Yes Kama Taa,
Nawacheck Na Kuwawashia Mshumaa,
Wanalonga Na Kuponda Narap Katuni,
Sijali Nawakimbiza Kama Tauni,
Mpaka Wasande Na Kukimbia Hapa Tauni,

Kwa Hisani Ya Mkaruka
RAP BATTLE
 
Back
Top Bottom