Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Tofautisha uwezo na pesa..... kupiga pesa haimaanishi ye ni boraFake rappers wakati wanaingiza hela na maisha yao yamebadilika gari nyumba
Ndyo staili yao ya maisha
Hivyo sikubaliani na Mada yako ndugu mwandishi
Hahaha ha basi umewaonea woteIla god zilla ata mm naona nimemuonea sana
hapo watoe joh na niki wa pili alaf waweke stamina na young kiler1. Joh makini
2. Nikki wa pili
3. Izzo biznes
4. G nako wara wara
5. God zilla
Kwa upande wng ndo hao...cjui kwako?
Labda stamina kwa mbali lakini young killer kile kichwa kingne, killer ni real MChapo watoe joh na niki wa pili alaf waweke stamina na young kiler
Ukitaka niamini kuwa joh na nick wa pili and the rest mentioned above chukua nyimbo zao zisikilize afu zen sikiliza nyimbo za ata one, stereo, young killer zen unipe mrejeshoUfake wao ni upi? Hawaandiki vzr? Hawavai vzr? Hawafuati misingi? .......Na hao real MCs ni wapi na kwa nn?
Cyo kila kitu uandikiwe vingne fanya wwKabla sijachangia naomba kujua tofauti ya Fake Rapper na Real Rapper