Top Richest People in Tanzania

Statistics gani hazina namba!?
Eti, 'they are believed to!'
Ilitakiwa tuone figures bwana!
 
Huyu Mrema mwenye mahoteli kule Arusha na magari ya Tours na magari meengi ya mizigo nae wamemsahau!!!!!!!!!!!!Mwenye Ngurdoto
 
Huu utafiti ni wa watu wa Kenya...
Sioni base yoyote ya kuwasample hao kuwa ndio richest people in Tanzania. Pia wealth yao haikuonyeshwa.

Nakubaliana kabisa na wewe mkuu. Sisi bado mambo mengi yanafichwa nyuma ya pazia kwahiyo ni ngumu kujua utajiri halisi wa mtu. Wenzetu kwasababu ya kodi lazima kila kitu kiwekwe wazi kwahiyo ni rahisi kujua utajiri wa muhusika.
 
Huu utafiti ni wa watu wa Kenya...
Sioni base yoyote ya kuwasample hao kuwa ndio richest people in Tanzania. Pia wealth yao haikuonyeshwa.

Kuna mitajiri ambayo hailipi kodi lakini inaiba kodi za wananchi haijatajwa hapo na yote ni wanachama wa CCM
 
Rz1 wa saba hapo...he owns lakeoil,darlive,maisha club of mtwara,vilevile ana huge share wama..
 
Kadinali Pengo, tajiri namba moja Tanzania.

Baada ya Serikali ardhi kubwa Tanzania anamiliki yeye kupitia Kanisa Katoliki.
 
Naona mmewasahau,

Kakobe
Lwakatare
 
Kadinali Pengo, tajiri namba moja Tanzania.

Baada ya Serikali ardhi kubwa Tanzania anamiliki yeye kupitia Kanisa Katoliki.

Ulitaka amiliki Majini kama.............................................. nikimalizia itafuata ban
 
hiyo list ni feki na imetegemea hisia za mtu na si uhalisia. Kuna mtu kama Al Kassim mmiliki wa Tanzania Road Haulage mwenye yadi kubwa zaidi ya kuhifadhi shaba na makontena Kurasini na malori mia kidogo ya kusafirisha mizigo East and Central Africa. Kuna watu kama Sophia Apartments kuna watu kama Sabodo na kadhalika.
 
kwa sasa mtu tajili ni yule aliye na ardhi kubwa kuliko wote coz ardhi inapanda bei kila siku na haiharibiki.....kama wote tunakubaliana juu ya hilo....the rechest man in tanzania kwa maoni yangu is a president ambaye sheria ya ardhi ( kama sijakosea S. 3 ya Land Act) inasema ardhi yote itakuwa chin ya mamlaka ya prsidaaa mpo hapo.....kwa hiyo hapo ulipo mda huu sio kwako kwa mh. kwa hiyo hao mliyowataja hawana lolote mh.akiamua lolote they will be the poorest people in tanzania
 

This is a good attempt in a vast area which needs a lot of research. Methodologies for computation would help readers appreciate reliability of information provided. If you visit Forbes and Fortune you will be clearly benchmarks used to establish various Lists (eg holding of shares in large stock markets NYSE, FTSE, NIKEI etc.)


Errors: Foe example, item number 7 above, Owner of Zahra Tower is Mr. Anwarali Dharamsi of Tanzania Road Haulage (1980) Ltd and not Fidahussein.
 
Kuna yule Zakaria nae anauza vyakula vyakula kwa sana ana viwanda hapa ndani 13 sabuni,mafuta etc pia anaagiza hadi cement nje zaidi container 250 kwa mwezi!rejea wafanyabiashara walioitwa kwa JK kusaidia Somalia!

Huyu kwako ndio tajiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…