Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse

Status
Not open for further replies.
M16 maafisa wake wakistaafu wanachapiasha vitabu na kutoa taarifa kiasi lkn sio zote.

Kuna kitabu kimoja jina nimelisahau km nitakikumbuka vzr nitakuja kukwambia huyo jamaa anasimulia jinsi walivyoingia Iraq kuziteketeza silaha za squd ambazo Ktk vita ya ghuba mwaka 1990 ziliwasumbua sn sasa baada ya vita hiyo vita walitumwa hao maaskari wanane wa m16 kwenda kuziagamiza hizo silaha ndani ya Iraq
 
Aisee hebu Fanya juhudi Kukumbuka jina la hicho kitabu Mkuu..

Nina kiu sana ya kuwasoma MI6 na MI5.. Siri zao wanazoziachiga nyepesi sana, natamani kusoma zile ambazo ziliwahi kuwa "top secret"..

Ukikumbuka usisahau kunijuza mkuu..
 
Aisee hebu Fanya juhudi Kukumbuka jina la hicho kitabu Mkuu..

Nina kiu sana ya kuwasoma MI6 na MI5.. Siri zao wanazoziachiga nyepesi sana, natamani kusoma zile ambazo ziliwahi kuwa "top secret"..

Ukikumbuka usisahau kunijuza mkuu..
Nilikisoma hicho kitabu zamani kidogo mwaka 1999. Kulikua kinaelezea namna hawa jamaa walivyotumwa ndani ya Iraq kuziteketeza silaha hizo Squd baada ya kua ziliwasumbua sn mwaka 90 na ndio maana Ktk vita ya mwaka 2003 Saadam hakua nazo tena hizo silaha. Jamaa waliingia ndani ya Iraq toka Kuwait wakashushwa na helcopta baada ya kuvuka boda.

Yani mkuu kwa mara ya kwanza hicho kitabu ndio kilinifunua kuweza kujua uwezo wa hivi vikosi maalumu. Jamaa wako fiti vibaya.

Mpk usiku nitakuja na majibu kamili mkuu
 
Kaka kama unafikirh ni rahisi nenda na wewe kapakue.
Labda akapakuwe mavi, movie yenyewe tu mtu anaangalia hadi mara tatu na kama iko complicated huwezi kuielewa mpaka uwe na mtu mwenye kichwa chepesi akufafanulie maana.

Hii ndio sababu marafiki huwa tunapenda kuangalia movie pamoja, sehemu usipoielewa mwingine anakuelewesha.
 
Huyu mpuuzi ametokea wapi kuharibu hali ya hewa humu..??

Kama hufaham kitu bora kusoma na kupita

Kwa jinsi navyokuona unawivu wivu Wakike flan hv,

Kula ban
 
Je kuna ukweli wowote kuwa CIA ilihusika na Mapinduzi ya Zanzibar na kuwezesha kuwapo kwa Muungano na Tanganyika uliozaa jamhuri ya Tz?
 
Je kuna ukweli wowote kuwa CIA ilihusika na Mapinduzi ya Zanzibar na kuwezesha kuwapo kwa Muungano na Tanganyika uliozaa jamhuri ya Tz?
jomba sizan kama kulikua na ulazima wa kuquote uzi mzima kwan unge fanya ku mmention @ The bold si angeona tuu??

na taahadhari ya ku quote uzi wote tayar The bold ameitoa tuwe wastaarabu kidogo basi
aaargh..
 
Je kuna ukweli wowote kuwa CIA ilihusika na Mapinduzi ya Zanzibar na kuwezesha kuwapo kwa Muungano na Tanganyika uliozaa jamhuri ya Tz?
Kwanini unaquote Uzi wote huu ili uulize swali?? Mbona ungeuliza tu bila kuquote uzi wote swali lingeonekana..

Ina maana hujaona page ya kwanza kabisa post # 5 nimeweka angalizo tusiquote uzi? Na hili suala tunaambiana kila siku kuwa usiquote uzi mrefu unasababisha kero kwa wanaotumia simu..

Hebu tufike wakati tustaarabike na tuwe waelewa.. Unasababisha usumbufu mkubwa kwa waotumia app kwenye simu..

Ikiwezekana futa hii comment yako na uulize tena swali pasipo kuquote uzi!!
 
Ntuzu
kuna mission game nilkua napenda saana kuicheza miaka ya nyuma kidogo apo ilikua inaitwa [HASHTAG]#Conflict[/HASHTAG] Desert storm ambayo ilikua ina waonesha 4 SAS commandos ambao walikua wana piga mission za kutafuta na kuharibu sehem zote ambazo zilikua zimehifadhiwa silaha za maangamizi za uyo bwana Saadam Hussein
Nadhani concept ya hilo game ilitokana na iyo mission ambayo ili andikwa na uyo mwandishi wa iko kitabu jaribu kuvuta kumbu kumbu zako vzur nadhani utakumbuka

jina la operation iyo nadhani ni desert storm emb fatilia Mkuu..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…