pacesetter
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 255
- 306
Umeongea vyema mkuuUsisahau mkataba wa kutumia maji na vyanzo vya mto Nile, hata ziwa Victoria hatukutakiwa kuyatumia maji wenzetu wa Mwanza na Shinyanga wapate maji, nakumbuka ni Lowasa ndio alivunja huu mkataba unaowapa Egypt haki pekee ya kutumia maji haya, na usisahau mkataba huu uliandaliwa na Uingereza.
Nilichojifunza ni kitu kimoja tu, Uingereza ni mabingwa wa mikataba ya kinyonyaji na badly sheria zetu bado tunatumia kingereza na mikataba ya ndani kwa kingereza pia, inshort tumeadopt system ya kinyonyaji.