Nani sasa anaetakiwa kujiheshimu, mimi au yeye mleta mada anaejibu matusi bila hoja?
Ningependa kumuona mtunzi huyu anakomaa kitamthiliya, hivyo ni lazima ajifunze mambo ya proper attribution, claims of copyright na ku avoid plagiarism.
Huwezi kubandua hekaya za watu kutoka maktaba ya rekodi za makumbusho Washington University, ukayabandika mitandaoni na kudai haki miliki.
Dai lake la haki miliki amelifananisisha na kitabu cha Msekwa kuhusu Nyerere, yani non-fiction.
Huyu, tofauti na Msekwa, hana ISBN wala registered copyright lakini kasisitiza biti kali kwamba watu wasitumie hii hadithi.
Sasa katoa chanzo kimoja ku cover tunzi nzima, je, ili adai haki miliki, atueleze, yepi ya kwake ya kichwani, yepi kameza public archives katema hapa kama yalivyo.