fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Ni kweli dada angu, muda sana ila nashukuru tumempata The bold ambaye anazifuatilia hizi no longer classified issues kwaajili ya wengi ambao hawaelewi au hawajui hasa tumo katika aina gani ya sayari. Maisha yetu yamekuwa influenced sana na vikundi special vya mataifa makubwa ili kutimiza au kulinda maslahi yao popote pale duniani.Mkuu kweli unapenda sana jukwaa hili.
Unakumbuka miaka miwili iliyopita mimi nawe tulikuwa hapa kujadili jamaa fulani Ustaadh aliyewapa tabu sana maadui zake kwenye mission zao za kumuua?
Ila alipoingiaspecially kwenye mambo ya ulevi na wanawake ndipo walipompata kiulaini kabisa.
Tena tukaenda mbali zaidi kujadili familia yake itakuwaje?
Nakumbuka uliniambia kuwa familia ya gaidi huwa inapotezwa,kuepusha kulipa kisasi baadae.
Natamani sana niuone ule uzi tena.
Tuko pamoja mkuu