Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hapa umeuvaa uhusika wangu hasa, nilimbakiza huyu zuzu ili watu wasione mimi ni mpenda shari lakini kiukweli kuna mijitu humu inakera sana na ili wasikukuzowee ni lazima utumie kauli kali.Tuheshimiane, acha mambo ya kipumbavu na kuongelea vitu usivyovifahamu na usilete mazoea ya kijinga mpuuzi wewe..
Hujui hata unachoongea!! Unamuongelea James Angleton?? Mpuuzi kabisa wewe, James Angleton hajawahi kuandika chochote kuhusu Mapinduzi ya Iran na najua hujawahi hata kumsikia na nisingemtaja hapo usingekuja kumsikia..
Unajua kwanini nimeweka quote yake hapo?? Nimeandika hiyo quote kwa kuwa nimeipenda na inashabihiana na nilichotaka kuandika.. Unakuja na kimbele mbele chako unaanza kuongea sijui nimebeba vitu vya Angleton?? Mpuuzi kabisa, wapi umesikia Angleton amewahi kuandika kuhusu Mapinduzi ya Iran.. Angleton mpaka anafariki mwaka 1989 hajawahi kuandika hata kitabu kimoja maisha yake yote na wala hakuwahi kutoa siri yoyote kuhusu CIA..
Nimeweka pale chini source ya makala yangu ni Nyaraka zilizo kabidhiwa George Washington University, wewe unakuja na upuuzi wako unaongea vitu usivyovijua!!
Unaongea kuhusu hati miliki! Hivi unajua hata hati miliki inazingatia nini??? Kisa ni True story ndio isiwe na hati miliki??
Kwahiyo unataka kusema kuwa mtu anaweza kwenda kudurufu kitabu cha mzee Msekwa alichoongelea maisha ya Nyerere na kwenda kuuza kisa tu msekwa kaandika true story ya Nyerere hivyo hana hati miliki??? Mpuuzi kabisa..
Wewe mtoto wa kiume acha wivu wa kipumbavu..
Tuheshimiane.!!