Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse

Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse

Status
Not open for further replies.
Tuheshimiane, acha mambo ya kipumbavu na kuongelea vitu usivyovifahamu na usilete mazoea ya kijinga mpuuzi wewe..

Hujui hata unachoongea!! Unamuongelea James Angleton?? Mpuuzi kabisa wewe, James Angleton hajawahi kuandika chochote kuhusu Mapinduzi ya Iran na nina najua hujawahi hata kumsikia na nisingemtaja hapo usingekuja kumsikia..

Unajua kwanini nimeweka quote yake hapo?? Nimeandika hiyo quote kwa kuwa nimeipenda na inashabihiana na nilichotaka kuandika.. Unakuja na kimbele mbele chako unaanza kuongea sijui nimebeba vitu vya Angleton?? Mpuuzi kabisa, wapi umesikia Angleton amewahi kuandika kuhusu Mapinduzi ya Iran..

Nimeweka pale chini source ya makala yangu ni Nyaraka zilizo kabidhiwa George Washington University, wewe unakuja na upuuzi wako unaongea vitu usivyovijua!!

Unaongea kuhusu hati miliki! Hivi unajua hata hati miliki inazingatia nini??? Kisa ni True story ndio isiwe na hati miliki??
Kwahiyo unataka kusema kuwa mtu anaweza kwenda kudurufu kitabu cha mzee Msekwa alichoongelea maisha ya Nyerere na kwenda kuuza kisa tu msekwa kaandika true story ya Nyerere hivyo hana hati miliki??? Mpuuzi kabisa..

Wewe mtoto wa kiume acha wivu wa kipumbavu..

Tuheshimiane.!!
Kumjibu mpuuzi ndo unampa promo/kick....ndo anachotafuta samtaimu uwe unauchuna
Silence is the best answer
 
Kuna kipande fulani katika series niliona kuhusu mugabe kutaka kupinduliwa lakini hawakufanikiwa! Mkuu ukipata nakala.hata sources tu please naomba unipe links nipitie huko nipate maarifa ya ki ulimwengu na mambo ya intelijensia.
Sawa Mkuu! Nitafanya hivyo..
 
Tuheshimiane, acha mambo ya kipumbavu na kuongelea vitu usivyovifahamu na usilete mazoea ya kijinga mpuuzi wewe..

Hujui hata unachoongea!! Unamuongelea James Angleton?? Mpuuzi kabisa wewe, James Angleton hajawahi kuandika chochote kuhusu Mapinduzi ya Iran na najua hujawahi hata kumsikia na nisingemtaja hapo usingekuja kumsikia..

Unajua kwanini nimeweka quote yake hapo?? Nimeandika hiyo quote kwa kuwa nimeipenda na inashabihiana na nilichotaka kuandika.. Unakuja na kimbele mbele chako unaanza kuongea sijui nimebeba vitu vya Angleton?? Mpuuzi kabisa, wapi umesikia Angleton amewahi kuandika kuhusu Mapinduzi ya Iran.. Angleton mpaka anafariki mwaka 1989 hajawahi kuandika hata kitabu kimoja maisha yake yote na wala hakuwahi kutoa siri yoyote kuhusu CIA..

Nimeweka pale chini source ya makala yangu ni Nyaraka zilizo kabidhiwa George Washington University, wewe unakuja na upuuzi wako unaongea vitu usivyovijua!!

Unaongea kuhusu hati miliki! Hivi unajua hata hati miliki inazingatia nini??? Kisa ni True story ndio isiwe na hati miliki??
Kwahiyo unataka kusema kuwa mtu anaweza kwenda kudurufu kitabu cha mzee Msekwa alichoongelea maisha ya Nyerere na kwenda kuuza kisa tu msekwa kaandika true story ya Nyerere hivyo hana hati miliki??? Mpuuzi kabisa..

Wewe mtoto wa kiume acha wivu wa kipumbavu..

Tuheshimiane.!!
Kumbe hii ndio sababu iliyokupoteza nakutafuta namna hii?
Calm down my love,huyo mpuuzi hana hata hadhi ya kupata jibu kutoka kwako.

Kwakuwa umeshamjibu ni vizuri pia,kukaa kimya sometimes kutawafanya wapuuzi kama hawa wazidi kuibuka.
Ila ukimjibu mmoja namna hii wanajua huyu mtu sio mchezo [emoji23]

Naomba kama akikuquote tena usimjibu pls,heshima yako ni kubwa.
Usiishushe kwa kuargue na vichaa ambao kivyovyote hawawezi kukosekana.

Calm down,calm down [emoji8] [emoji120]
 
Hii moja sababu ya fisi kufuata nyayo za simba ni wakati wowote simba atafanikisha windo lake na Fisi atajitwalia mzogo Wake baada ya Simba kukinai "Asante sana mkuu maana Gogo la mbuyu si la mvule [emoji106][emoji109]
 
Ume claim hati miliki.

Sijui kama unaweza kubeba simulizi la mtu mwingine, James Angleton, la matukio ya zaidi ya miaka 40 iliyopita, yaliyowekwa kwenye public records za national archives na kudai ni ya kwako.

Kwa nini, kwa sababu, awali ya yote, ndani ya simulizi hukuonyesha hukutofautisha kwa citation kipi umebeba cha mwenzio na kipi cha kwako, kama kipo.

Swali: Nini hapo umekibuni wewe, umeongeza ya kwako ya kichwani, kiasi cha kukupa hati miliki ya ubunifu juu ya simulizi hili?
Nifah huu ugomvi najua unanunua bure tena utaamudu kweli, msaidie baby wako asijekumpa kick huyu mandazi ya ngano
 
Kumbe hii ndio sababu iliyokupoteza nakutafuta namna hii?
Calm down my love,huyo mpuuzi hana hata hadhi ya kupata jibu kutoka kwako.

Kwakuwa umeshamjibu ni vizuri pia,kukaa kimya sometimes kutawafanya wapuuzi kama hawa wazidi kuibuka.
Ila ukimjibu mmoja namna hii wanajua huyu mtu sio mchezo [emoji23]

Naomba kama akikuquote tena usimjibu pls,heshima yako ni kubwa.
Usiipunguze kwa kuargue na vichaa ambao kivyovyote hawawezi kukosekana.

Calm down,calm down [emoji8] [emoji120]
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]

Sory hny! Huyo mtu ameniboa, analeta ujuaji kwenye vitu ambavyo hana ufahamu navyo hata robo..
You know me sweetheart huwa sijibugi watu wa dizaini hii.. Ila nimemjibu ili asiniletee mazoea ya kijinga tena.. Kuanzia sasa akiniquote atakuwa anafukuza upepo peke yake..

Sory nimekukimbia kule mama [emoji1] [emoji85]
 
Aisee The bold hebu kabla ya huu mwaka shusha makala kuhusu Dr Henry Kissinger juu ya waraka wake alioandika mwaka 1974 juu ya kupunguza idadi ya watu duniani ambao huo waraka ukachukuliwa ukawa ndio Sera ya taifa LA USA.

Humo kuna mambo mengi sn kutoka Kwa huyu aliekua afisa Wa NSA....
 
Roger that..
Nimekusoma Mkuu! Watu wa dizaini hii ni wakupuuza tu.. Hawastahili hata kujibiwa
Mti wenye matunda ndo hupigwa mawe.......
kadri unavyojenga jina humu JF maadui/haters ndo wanaongezeka ....
Siyo wote wanaofurahia mafanikio yako
Ni changamoto ya kawaida tu
 
Nifah huu ugomvi najua unanunua bure tena utaamudu kweli, msaidie baby wako asijekumpa kick huyu mandazi ya ngano
Mkuu...ni Mungu pekee anayejua ni jinsi gani nimejizuia kununua huu ugomvi.
Nimeacha makusudi ili mpenzi wangu apate kuitoa 'nyongo' yake.

Nikifikiria ambavyo The bold wangu hutumia muda wake mwingi kuandaa hizi makala,tena hadi wakati mwingine nanuna maana anatumia hadi muda wangu mimi naye kundika halafu anakuja mjingamjinga kama huyu...damnit!

Huu ni wivu wa kipambavu kabisa,wivu wa kiume ni pale unapoona mwenzio kafanya lake zuri,nawe unavimba ufanye poa zaidi yake.
Ah ndio hivyo tena,tusisahau kuna ile takwimu ya 4:1
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ila the bold you are the best... Kila nchi inapaswa kuwa na vitengo vya fitina kwa maslahi ya taifa... Tatizo huku kwetu vitengo vimegeuzwa na kuwa kama moja ya kamati ya ham and fulani
 
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]

Sory hny! Huyo mtu ameniboa, analeta ujuaji kwenye vitu ambavyo hana ufahamu navyo hata robo..
You know me sweetheart huwa sijibugi watu wa dizaini hii.. Ila nimemjibu ili asiniletee mazoea ya kijinga tena.. Kuanzia sasa akiniquote atakuwa anafukuza upepo peke yake..

Sory nimekukimbia kule mama [emoji1] [emoji85]

No need sorry honey love,hata kama ningekuwa mimi nisingeweza kuhold hili.

Of course I know you baby, hadi unafikia hatua ya kumjibu mtu hivi basi kakuvuruga kwekweli.

Hahahaaaaa that's my man,achana nae bwana.

Oh worry out babe, as nimekukuta hapa hakuna case.
Ingekuwa tofauti unanijua vyema [emoji3] [emoji6]
 
Halafu dada Nifah unazipendaga sana story za kijasusi au ndio jasusi la chama chetu kile[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mkuu umenena kitu chema-elimu ndio kila kitu uwekezaji mkubwa unafanywa na makampuni ya nje sababu hatuna technology hata leo hii tukisema tuvinje mikataba tunaweza but tuna technology ya kuendeleza hayo makampuni jibu ni hapana.
Pili,utawezaje kuwa mgunduzi na mbunifu wa mambo kama unatumia lugha ya mtu mwingine kujifunza??? Hapa napo jibu ni hapana huwezi , nchi zinazoongoza kwa technologia zinatumia lugha zao.haya mambo yalisetiwa toka enzi hizo ku undo kunahitaji kuwa na mtawala mwenye upeo mkubwa sana,the only solution tunachoweza kufanya ni kuwa kama china ku import technology kwa kusomesha watu kisha kurudi na kuwatengezea mazingira na hii ni long run solution.
Tunagandamizwa kwa kupitia Mult national corporations na kuondoka kwenye mikataba huu sio CCM wala CDM wanaweza bali apatikane mtawala mwenye maono tofauti kabisa
Na njia ya pekee kufikia malengo kama taifa ni tuwe na sera/ ilani ya taifa.. Na iwe ndio mwongozo wetu Kama nchi.. Na si mfumo wa sasa tunatumia sera za vyama na mawazo ya rais...
Ukiisoma kwa makini hii makala utatambua kwamba hata Yule aliyempatia ofa Shah ya kwenda kutalii ulaya alitumwa na serikali yake.. Thus why mwisho wa siku aliuza share kwa UK... Kwa hiyo ulikuwa ni mpango wa serikali ya uingereza ndio maana wakatanguliza mfanya biashara.
Bahati mbaya hapa kwetu serikali inapiga vita wafanyabiashara wakati wenzetu wanatengeneza multinational companies ili kufanya deal chafu Kama hizo kwa niaba ya serikali.. Mfano hai someni kitabu cha Confession of economic hitman kisha oanisha na hii ya iran
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom