pacesetter
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 255
- 306
Umeongea vyema mkuuUsisahau mkataba wa kutumia maji na vyanzo vya mto Nile, hata ziwa Victoria hatukutakiwa kuyatumia maji wenzetu wa Mwanza na Shinyanga wapate maji, nakumbuka ni Lowasa ndio alivunja huu mkataba unaowapa Egypt haki pekee ya kutumia maji haya, na usisahau mkataba huu uliandaliwa na Uingereza.
Nilichojifunza ni kitu kimoja tu, Uingereza ni mabingwa wa mikataba ya kinyonyaji na badly sheria zetu bado tunatumia kingereza na mikataba ya ndani kwa kingereza pia, inshort tumeadopt system ya kinyonyaji.
Mdau kwani kuna tatizo?na kama.lipo ni lipi?JF hawajaweka sharti kwamba ulileta bandiko uweke na citation au sosi,wewe kama utalibeba hapa unaweza ukaandika sosi JF au flan wa JF au usiandike,na kama unajua kuna sosi ya hizi stori bas si mbaya uka clarify japo haina umuhim kiviiile.Kwa aina ya maandiko na mahali yalipowekwa
Mkuu,
Hebu tufafanulie "plagiarism" ni nini? Sheria ya Hakimiliki na Hakishiriki, Na. 7 ya mwaka 1999 imevunjwa wapi na mwandishi kwenye simulizi yake? Tufafanulie ISBN (Internation Standard Book Number) ni nini na inatolewaje?
Kaka ...
Mkuu naona watu wanakushambulia sana ngoja mie nikupe ushauri tu ili usiendelee kugombana na watu.That's right, hakuna sharti JF la kutoa "sosi" lakini ni yeye ndio ameanza ku get tekniko hapa kwa kutoa masharti ya haki miliki. Uki invoke haki miliki lazima tukwambie na wewe tupe sosi yako nini na yako ya kichwani hapa ni yepi?
Wewe kitu umepakua kwenye public archives ukakimwaga kama kilivyo hapa, utadaije hakimiliki?
upo vizuri bi'dadaBila shaka...
Anza na alama na herufi hii kabla ya neno unalotaka kubold [ b ] kisha malizia hivi [ /b ]
Mfano
Kama wewe ulivyouliza "Mkuu Nifah unaweza kunifundisha kubold neno/sentensi?"
Ukitaka kubold hiyo sentensi anza na [ b ] mwanzo kabisa mwa maneno unayotaka kuyabold...kisha malizia na. [ /b ] mwishoni mwa sentensi.
Kumbuka usiache nafasi kabla na baada ya hizo alama.
Namaanisha hizo herufi ndani ya mabano usiache nafasi baina ya mabano na herufi/alama.
Here we go...bold maneno sasa katika maelezo yangu haya.
Karibu.
[emoji15]Hongera Mkuu The Bold[emoji1533]
Pamoja sana Mkuu! Shukrani..The bold hongera, hata tuliotopea ktk uvivu kusoma vitabu alau tumechemsha bongo.
Hizi compliments ndio zinawauma watu,heheeeeee [emoji108]Pamoja sana Mkuu! Shukrani..
Kweli JF ina watu wa kila namna.
Ni swali tu!kwani kuuliza ni ujinga?kama ww unajua jibu bac...Acha upumbavu.
Bila shaka Mkuu! Nitafanyia kazi hayo mapendekezo..Unazitendea sana nyuzi zako mkuu The bold.
Kama ukipata nafasi na uwezo,ningependa siku moja uelezee moja ya vifuatavyo ( au vyote ukiweza)
1. Gaddaf na Libya ( influence ya Westerners)
2. Israel na Palestina
3. Influence ya westerners ktk groups like IS,Boko haram n.k
Shukrani.
That's right, hakuna sharti JF la kutoa "sosi" lakini ni yeye ndio ameanza ku get tekniko hapa kwa kutoa masharti ya haki miliki. Uki invoke haki miliki lazima tukwambie na wewe tupe sosi yako nini na yako ya kichwani hapa ni yepi?
Wewe kitu umepakua kwenye public archives ukakimwaga kama kilivyo hapa, utadaije hakimiliki?
Aisee! Am speechless..The Bold. Asante kwa kunijongesha kiasi cha kujisajili ili nikujibu. Kwa miaka nimekuwa niki peruse as a stranger kwenye hii forum (Jamii Forum). Asante kwa kunijongesha. Kiasi cha kusema napenda makala zako hasa zinazohushisha tafiti. Hii pia ni kama kukubali kwamba I strongly try to understand myself via you. Hadi wakati huu, tafadhali ikupendeze kusikiliza maneno yangu mafupi hapa Jamii Forum (maneno ya kwanza niliyo post), "unakipaji cha kipekee" kwa sababu zifuatazo:
1. Katika ulimwengu ambao takribani vitu vingi vimesha andikwa kazi yako ya kutafiti, kuhariri, kuelezea kwa lugha nyepesi si tu ni kipaji cha pekee bali ni kipaji kinachohitajika sana kwa sasa. Nakupa moyo.
2. Mrengo unaouchukuwa wa kujadili complicated scenarios na hoja zinazo Appeal kwa wasomi ni jambo Jema sana kwa mustakabali wa kipaji chako hasa ukizingatia Jamii ya wasomi wa daraja la kati (degree) holders wanavyo ongezeka.
3. Uamuzi wa kusimama kati ya kilichojiri na wanaotaka kufahamu kilichojiri ni uamuzi wa busara sana kati ya maamuzi uliyo yafanya, ni kama umeshafahamu aina ya kipaji chako. Nakuhakikishia hicho ni kipaji cha Muhimu sana kwa zama hizi ambazo taarifa ipo kwenye viganja vyetu. Asante sana bro.