Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee! Am speechless..
Kwanza nashukuru sana kwa kuchangia kukushawishi ujiunge na JF.. Its an honour, karibu sana Mkuu..
Pia Nashukuru kwa pongezi na maneno mazito ya kunitia moyo.. Nimeyahifadhi moyoni, yana maana kubwa sana..
Tuendelee kuwa pamoja Mkuu George Dalali! Shukrani sana..
Kaone [emoji1] [emoji23]Alhamdulillah ni me...[emoji120]
Shukrani Mkuu..The bold,,shukrani kwa historia tamu ya irani na kuonyesha vile wazungu wanavo nyonya mataifa madogo
On behalf of Bae ! Ama nene ?Alhamdulillah ni me...[emoji120]
Mkubwa,
Again, sio mimi niliyeanza ku get technical hapa, yeye ndio ka invoke haki miliki!
Sikuanza kwa kusema atuonyeshe ISBN yake wala copyright. Yeye kaji compare na kitabu cha Msekwa ambacho ni true stori ya Nyerere. Hoja yake kadai, ukiandika vitu true stori ina maana hiyo siyo mali yako? Nikamwambia Msekwa simulizi lake lina ISBN na lina registered copyright.
Wewe unaedai haki miliki kwa kitu ulichokimeza kwenye public archives ukakitema hapa tuonyeshe basi na wewe ISBN na copyright kama ya Msekwa! Hana!
Alipokuja kujibu hoja kaanza na tuheshimiane, halafu katukana, kamalizia tena kwa kusema tuheshimiane, kasepa!
Mtu anaesema "tuheshimiane" halafu anatema matusi mwanzo mwisho halafu anamalizia na "tuheshimiane" huwezi kunambia hajadata!
Ni makosa ya utumaji guyzKweli JF ina watu wa kila namna.
[emoji1] [emoji1] sijui ulikuwa unatuma wapi??Ni makosa ya utumaji guyz
Makapuku[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji1] [emoji1] sijui ulikuwa unatuma wapi??
Bado Mkuu! Nitafanyia kazi pendekezo.. Shukrani sana..thnx the BOLD kwa kazi zako za kila siku... big up braza..
ushawahi toa thread yoyote inayohusu chimbuko la makundi ya kigaidi dunian.... km ndio naipata wap.. na kama bado naiomba tafadhar... hongera kwa kazi
Hahahah!! Pamoja sana Mkuu.. ShukraniMkuu the bold me usiwe unaniita kabisa maana nimekua nasoma kimyakimya mpaka leo nimeamua kutoa volume ila we jamaa wewe ni cheche nzi haruki
[emoji23] [emoji23] [emoji1] nimekusoma aisee..Makapuku[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
sweetdarling#...............hayaNaam,nimemaliza sasa kuisoma makala hii ya aina yake.
Nami ngoja nihighlight sehemu zilizonivutia.
SAD
Hiki kitengo kimenitisha!Nimependa fitna zao,hakika wako vizuri sana.
Hasa tukio la kumng'oa madarakani Mohammed Mosaddegh limenisisimua sio kidogo.
Aling'olewa kitaalam kwelikweli.
Ila katika matukio yaliyonisisimua zaidi ktk kitengo hiki ni waliposhindwa kumng'oa madarakani Mzee mzima The Late Fidel Castro.
Tukio jingine lililoniacha na maswali lukuki ni mbinu gani waliitumia kumvusha Dalai Lama mpakani mwa China na kumpeleka India?
Nimetamani sana kujua walitumia mbinu gani.(Sadly umesema hakuna anayejua walitumia mbinu gani hadi leo hii)
Bila shaka ilikuwa mbinu hatari na wanaitumia hadi leo ndio maana hawajaianika kama hizi nyingine.
Katika matukio yaliyonichekesha sana ni matamanio ya Shah ya kwenda ulaya.
Mzee kagawa visima vya mafuta kisa tu akaoshe macho Hahahaaaaa
Yote kwa yote nimemkubali sana Mohammad Mosaddegh kwa harakati zake hadi aliposhinda.
Mwisho nina swali na ombi,nisijekuandika sana mwisho ikageuka makala ndani ya makala...lol
SWALI
Nimeona mwisho wa makala hii Waingereza walishinda 'vita' dhidi ya Mohammad Mosaddegh ambaye alikuwa kawabana mbavu katika dili la mafuta.
Na kiongozi aliyefuata alikuwa kibaraka wao aliyekuwa anafuata kila wamuambialo.
Je,Iran waliweza vipi kujikwamua kutoka katika utumwa huu dhidi ya Uingereza?
Ni nani aliyeongoza mapambano hayo ya kurejesha visima vyao vya mafuta?
Je alitumia mbinu gani?
OMBI
Naomba utuandikie makala kuhusu 'Simba aliyeshindikanika' Hayati Fidel Castro.
Nasikia huyu ndiye kiboko ya CIA.
Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi ni kwamba wamewahi kumuwekea mitego mikali ya kumuua 21 lakini aliikwepa yote.
Hiyo mitego ilikuwaje? Aliikwepa vipi?
Naamini kupitia wewe nitakata kiu yangu ya kumfahamu Shujaa Fidel Castro kwa undani.
Asante kwa makala nzuri yenye mtiririko wa kusisimua,lugha na misemo ya lugha yetu adhimu ya kiswahili ni kivutio kingine katika makala zako.
Am proud of you my sweet darling
#TheBoldIsMine#
Katika yoooooote umeona hilo tu mkuu?[emoji15]sweetdarling#...............haya