Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Angelengwa Mbowe ingekuwa bahati nzuri????? Angekuwa ndugu yako alikula shaba ungesemaje?
Igweeeeeeeeeee taarifa zakunyapia nyapia zimeniangukia mzee wakunyapia nyapia hii ni zaid yakiza kinene kwa wale mnamtumia msg yakulaani mkuu wa taifa eti aliruhusu risasi kwa waadamnaji. Sio kweli yani big No.
Taarifa ambazo nakosa kuzithibitisha nikwamba kweli risasi zilipigwa na mpigaji nikweli alikuwa mtumishi wa jeshi la polisi. Ila giza ni zito nani alitoa amri. Ikumbukwe askari hawatumii risasi za moto pasipo kibali ama kuwepo hali yakuleta hatari kwa askari husika. Kila kikosi chakutuliza ghasia kuna mkuu wakile kikosi au wakundi fulani.
Habari zisizo rasmi nikuwa ile risasi ilipigwa na mmoja wa hao walinzi wa amani japo hakuna ushaidi why mpaka sasa alitumia silaha za moto. Maswali wana usalama na viongoz wajuu wanajiuliza ni:-
Je askari alie piga risasi alipatwa na mfadhaiko au msongo wakimawazo baada yakuona kundi linamjia?
Au alikuwa na ajenda ambayo mimi nawewe hatujaijuwa mpaka sasa?
Je kuna mtu nyuma yapazia alikuwa akicontrol kundi fulani la maaskari
Je ni watu wasiojulikana katika nia yao ovu bado kumchafuwa Magufuli na serikali ambalo ndio ilikuwa dhima ya yale maandamano?
Je kunakamchezo kanachezwa kuiteteresha serikali ya Magu...
Je hii ni conspiracy?
Kazi kwenu
You have a pointKatika serikali ya Magufuli Dr na Rais wa nchi kuna adui within the system ambao wana mpiga vita kali Rais! Hii ni njia ya kuchafua jina la kiongozi kwani hii pangua pangua, pindua pindua, fukuzafukuza wa vyeti feki na wapiga madili wamo kazini, wanaokosa safari za nje ya nchi, wanashindwa kufanya mikutano ya bodi Dhubai, London, Berlin, Oman wapo kazini, ni wengi mno wamechanganyikiwa kwa kunyanganywa mapande ya minofu ya nyama midomoni, waliozoe kufukuza na kustaafisha watumishi waadilifu na wachapakazi kazi ili wapate mwanya wa kuendeleza madili na wizi kwa mikataba mibovu wapo kazini!!!God Bless Rais Magufuli, kudos Magufuli.
Kitu chenye incha kali.na wasiojulikanaUnamaaanisha hazikua ni risasi kama kawaida
yenu ya kupotosha?
Unataka kusema binti Aquilina aliuwawa kwa manati?
Ajabu sanaaPolisi wanajichunguza kwa kifo cha binti Aquline aliyemwagwa ubongo na askari aliyekuwa kwenye mchakato wa kuiba kura kwa kuzuiya form za mawakala.
Bila aibu eti selikali imepata hasaraa.ya kumsomesha.Wangemfukuza huyo mshenzi hapo msibani tu
Mama zima linashindwa hata kufungua domo kukemea polisi
Afu linajifanya kwenda kuhani.. VULVA
Mkuu haya mauwaji yana wigo mpana.
Anzia kwa mkurugenzi aliyeleta figisu za kibaguzi kugawa hayo makaratasi.
Polisi, si tu kufyatua risasi, huyo mfyatuaji alishajulikana na yumo ndani, bali kwanini zitumike risasi sa moto kutulizia 'maandamano ya amani', nani alitoa amri hiyo?
Kwanini mbowe aanzishe maandamano muda nje ya 'saa za kazi' bila kibali? Nk nk.
Kwa hiyo, msafara wa mamba utakumba na kenge pia.
Watu wamezidi sana hila na unafiki nchi hii.
kuna mkuu mmoja walitaka "kumtundu"!!!!Mh. Jakaya 2015 aliagiza kwa fedha nyingi magari ya maji washa, ni makubwa ya kisasa na yenye uwezo wa juu wa kuzima maandamano, kwanini hayakutumika kuwatawanya waandamaji!? Na wa siku ile yalikuwepo, wakayaweka pembeni wao wakaamua watumie za moto, kwa kweli ni lazma wawajibishwe wote. Halipaswi kuachwa kabisa....
Una shauri nini, wangeamua kurudi nyumbani bila barua za utambulisho halafu kesho yake mawawaka wakataliwe kuingia kwenye vyumba vya kupigia kura ili wabaki wale wa CCM eeh, ndio mlivyokuwa mmejipanga.PAMOJA NA ALIYEANZISHA MAANDAMANO BILA KIBALI HIYO DAMU IKO JUU YAKE MILELE HACHOMOKI
Ujinga huu kamwambie mkeo. eti Rais hakutoa amri how do you know au ndo mmeanza kujisafisha hell to uIgweeeeeeeeeee taarifa zakunyapia nyapia zimeniangukia mzee wakunyapia nyapia hii ni zaid yakiza kinene kwa wale mnamtumia msg yakulaani mkuu wa taifa eti aliruhusu risasi kwa waadamnaji. Sio kweli yani big No.
Taarifa ambazo nakosa kuzithibitisha nikwamba kweli risasi zilipigwa na mpigaji nikweli alikuwa mtumishi wa jeshi la polisi. Ila giza ni zito nani alitoa amri. Ikumbukwe askari hawatumii risasi za moto pasipo kibali ama kuwepo hali yakuleta hatari kwa askari husika. Kila kikosi chakutuliza ghasia kuna mkuu wakile kikosi au wakundi fulani.
Habari zisizo rasmi nikuwa ile risasi ilipigwa na mmoja wa hao walinzi wa amani japo hakuna ushaidi why mpaka sasa alitumia silaha za moto. Maswali wana usalama na viongoz wajuu wanajiuliza ni:-
Je askari alie piga risasi alipatwa na mfadhaiko au msongo wakimawazo baada yakuona kundi linamjia?
Au alikuwa na ajenda ambayo mimi nawewe hatujaijuwa mpaka sasa?
Je kuna mtu nyuma yapazia alikuwa akicontrol kundi fulani la maaskari
Je ni watu wasiojulikana katika nia yao ovu bado kumchafuwa Magufuli na serikali ambalo ndio ilikuwa dhima ya yale maandamano?
Je kunakamchezo kanachezwa kuiteteresha serikali ya Magu...
Je hii ni conspiracy?
Kazi kwenu
kuna sehemu inasema anaeandamana apigwe risasiPAMOJA NA ALIYEANZISHA MAANDAMANO BILA KIBALI HIYO DAMU IKO JUU YAKE MILELE HACHOMOKI