Tetesi: Top secret: Sio Ikulu,Sio Tis wala kikosi maalumu kiliruhusu Risasi zitumike kwa waandamanaji je who authorize..

Tetesi: Top secret: Sio Ikulu,Sio Tis wala kikosi maalumu kiliruhusu Risasi zitumike kwa waandamanaji je who authorize..

Angelengwa Mbowe ingekuwa bahati nzuri????? Angekuwa ndugu yako alikula shaba ungesemaje?

Hujui Nilichokimaanisha! Kwa ufupi tu:
1) Nimemaanisha Kuwa Wanatufumba midomo tusijadili hili tukio Kwa kupretex Kuwa ni Bahati Mbaya

2) Kama Amepigwa Kwa Bahati Mbaya! Sasa Yanini Kusema Wameunda Timu Ya Kuchunguza? Sasa Wanachunguza Nini wakati Wameshacomfirm Kuwa ni Bahati Mbaya?
 
Igweeeeeeeeeee taarifa zakunyapia nyapia zimeniangukia mzee wakunyapia nyapia hii ni zaid yakiza kinene kwa wale mnamtumia msg yakulaani mkuu wa taifa eti aliruhusu risasi kwa waadamnaji. Sio kweli yani big No.

Taarifa ambazo nakosa kuzithibitisha nikwamba kweli risasi zilipigwa na mpigaji nikweli alikuwa mtumishi wa jeshi la polisi. Ila giza ni zito nani alitoa amri. Ikumbukwe askari hawatumii risasi za moto pasipo kibali ama kuwepo hali yakuleta hatari kwa askari husika. Kila kikosi chakutuliza ghasia kuna mkuu wakile kikosi au wakundi fulani.

Habari zisizo rasmi nikuwa ile risasi ilipigwa na mmoja wa hao walinzi wa amani japo hakuna ushaidi why mpaka sasa alitumia silaha za moto. Maswali wana usalama na viongoz wajuu wanajiuliza ni:-

Je askari alie piga risasi alipatwa na mfadhaiko au msongo wakimawazo baada yakuona kundi linamjia?

Au alikuwa na ajenda ambayo mimi nawewe hatujaijuwa mpaka sasa?

Je kuna mtu nyuma yapazia alikuwa akicontrol kundi fulani la maaskari

Je ni watu wasiojulikana katika nia yao ovu bado kumchafuwa Magufuli na serikali ambalo ndio ilikuwa dhima ya yale maandamano?

Je kunakamchezo kanachezwa kuiteteresha serikali ya Magu...

Je hii ni conspiracy?

Kazi kwenu

Katika serikali ya Magufuli Dr na Rais wa nchi kuna adui within the system ambao wana mpiga vita kali Rais! Hii ni njia ya kuchafua jina la kiongozi kwani hii pangua pangua, pindua pindua, fukuzafukuza wa vyeti feki na wapiga madili wamo kazini, wanaokosa safari za nje ya nchi, wanashindwa kufanya mikutano ya bodi Dhubai, London, Berlin, Oman wapo kazini, ni wengi mno wamechanganyikiwa kwa kunyanganywa mapande ya minofu ya nyama midomoni, waliozoe kufukuza na kustaafisha watumishi waadilifu na wachapakazi kazi ili wapate mwanya wa kuendeleza madili na wizi kwa mikataba mibovu wapo kazini!!!God Bless Rais Magufuli, kudos Magufuli.
 
You have a point
 
Wewe ni mb.wa tu kama mb.wa wengine unakuja na shitty theories zako hapa
 
Ukiona Askari ameshika bunduki Kaa nae mbali. Bunduki sio kifaa cha kutolea koni au bisi. Bunduki hutoa risasi na risasi hutoa mauti/majeruhi.
Jiweke katika nafasi ya Askari ukiwa umebeba silaha halafu unaona kundi la Wahuni linakufuata.....ungekuwa wewe ungechukua maamuzi gani mkuu? TumainiEl
 
Wangemfukuza huyo mshenzi hapo msibani tu
Mama zima linashindwa hata kufungua domo kukemea polisi
Afu linajifanya kwenda kuhani.. VULVA
Bila aibu eti selikali imepata hasaraa.ya kumsomesha.

Kwake yeye fedha ndo muhimu
 
Ukweli umetajwa humu kuwa walengwa ni Viongozi flani ila akakosea shabaha ikaenda kwenye basi la abiria FULL STOP
 
Mleta mada sijui ukoje? Umejitungia viswali vyako eti askari alikuwa na msongo wa mawazo..mxxxxiwww
 
Nikimwona yule mama kwa picha natamani kumfukuza hapo alipo wanaudhi sana hawa
 
Mwenye clip au picha ya askari aliyepigwa jiwe tafadhari share nasi
 
Mkuu haya mauwaji yana wigo mpana.
Anzia kwa mkurugenzi aliyeleta figisu za kibaguzi kugawa hayo makaratasi.
Polisi, si tu kufyatua risasi, huyo mfyatuaji alishajulikana na yumo ndani, bali kwanini zitumike risasi sa moto kutulizia 'maandamano ya amani', nani alitoa amri hiyo?
Kwanini mbowe aanzishe maandamano muda nje ya 'saa za kazi' bila kibali? Nk nk.
Kwa hiyo, msafara wa mamba utakumba na kenge pia.
Watu wamezidi sana hila na unafiki nchi hii.

Kinachotakiwa kwa haraka kipindi hiki ni kujaribu kubadilisha mindset za watu wetu.
Ni lazima kutatua haya matatizo kwa kumlenga mhusika moja kwa moja badala ya serikali kwa ujumla. Watu wanatumia ofisi za uma na madaraka yao kutimiza haja za mioyo na roho zao ovu kwa jina la Raisi, serikali, jeshi la polisi n.k.
Ni muhimu kumlenga mtu binafsi ili iwe fundisho kwa wote wanaofanya uovu kwa kujificha kwenye kichaka cha serikali au mwavuli wa jina la Rais.
Kuna watu wenye fikra kama za wanyama (mfano wa mbwa) ambao kila wanachoambiwa hawawezi kuchanganya na zao.
Haikubaliki kwa namna yoyote ile kutumia risasi za moto dhidi wa wandamanaji, tena sehemu yenye wapita njia wengi.
Ni kweli kabisa tunahitaji askari watiifu,hodari na wazalendo. Hata hivyo, kupiga raia risasi za moto ili kuwatawanya siyo uzalendo hata kidogo.
 
Mh. Jakaya 2015 aliagiza kwa fedha nyingi magari ya maji washa, ni makubwa ya kisasa na yenye uwezo wa juu wa kuzima maandamano, kwanini hayakutumika kuwatawanya waandamaji!? Na wa siku ile yalikuwepo, wakayaweka pembeni wao wakaamua watumie za moto, kwa kweli ni lazma wawajibishwe wote. Halipaswi kuachwa kabisa....
kuna mkuu mmoja walitaka "kumtundu"!!!!
 
Wananchi wote wanasema ni Magufuli na Makonda walitaka kumlaza Mbowe , very pity hawana tene legitimacy ya kucommand watanzania wanataka kumaliza wapinzani hasa viongozi lakini unauliza Tangu Magufuli watu wake wasiojulikana wali mtwanga Lissu risasi 40 je uchumi umeimarika reli ya standard gauge imeisha kiwanja kule chato kimeisha wananchi wamejazwa mapesa mifukoni hakuna roho mbaya tu na uroho wa madaraka
 
PAMOJA NA ALIYEANZISHA MAANDAMANO BILA KIBALI HIYO DAMU IKO JUU YAKE MILELE HACHOMOKI
Una shauri nini, wangeamua kurudi nyumbani bila barua za utambulisho halafu kesho yake mawawaka wakataliwe kuingia kwenye vyumba vya kupigia kura ili wabaki wale wa CCM eeh, ndio mlivyokuwa mmejipanga.
 
Igweeeeeeeeeee taarifa zakunyapia nyapia zimeniangukia mzee wakunyapia nyapia hii ni zaid yakiza kinene kwa wale mnamtumia msg yakulaani mkuu wa taifa eti aliruhusu risasi kwa waadamnaji. Sio kweli yani big No.

Taarifa ambazo nakosa kuzithibitisha nikwamba kweli risasi zilipigwa na mpigaji nikweli alikuwa mtumishi wa jeshi la polisi. Ila giza ni zito nani alitoa amri. Ikumbukwe askari hawatumii risasi za moto pasipo kibali ama kuwepo hali yakuleta hatari kwa askari husika. Kila kikosi chakutuliza ghasia kuna mkuu wakile kikosi au wakundi fulani.

Habari zisizo rasmi nikuwa ile risasi ilipigwa na mmoja wa hao walinzi wa amani japo hakuna ushaidi why mpaka sasa alitumia silaha za moto. Maswali wana usalama na viongoz wajuu wanajiuliza ni:-

Je askari alie piga risasi alipatwa na mfadhaiko au msongo wakimawazo baada yakuona kundi linamjia?

Au alikuwa na ajenda ambayo mimi nawewe hatujaijuwa mpaka sasa?

Je kuna mtu nyuma yapazia alikuwa akicontrol kundi fulani la maaskari

Je ni watu wasiojulikana katika nia yao ovu bado kumchafuwa Magufuli na serikali ambalo ndio ilikuwa dhima ya yale maandamano?

Je kunakamchezo kanachezwa kuiteteresha serikali ya Magu...

Je hii ni conspiracy?

Kazi kwenu
Ujinga huu kamwambie mkeo. eti Rais hakutoa amri how do you know au ndo mmeanza kujisafisha hell to u
 
Back
Top Bottom