Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Angelengwa Mbowe ingekuwa bahati nzuri????? Angekuwa ndugu yako alikula shaba ungesemaje?
Hujui Nilichokimaanisha! Kwa ufupi tu:
1) Nimemaanisha Kuwa Wanatufumba midomo tusijadili hili tukio Kwa kupretex Kuwa ni Bahati Mbaya
2) Kama Amepigwa Kwa Bahati Mbaya! Sasa Yanini Kusema Wameunda Timu Ya Kuchunguza? Sasa Wanachunguza Nini wakati Wameshacomfirm Kuwa ni Bahati Mbaya?