Top ten apps Tanzanian made

Top ten apps Tanzanian made

katika hiyo top ten, nadhani ni hizi haziwezi kukosa. zote zinacheza kwenye 1 million plus downloads.

IMG_20210710_144404.jpg
 
no hard feelings, ila ki ukweli app kama app kwa Tz ni chache to HAKUNA

nyingi ya izo apps sijui Ayo, jF, ni 'web app' zinazorun kwa 'server', ni takataka

zile 'native' hasa, kama NALA ya fernandez bongo ni za kwa 'tochi'
 
Tusaidiane kuzijua top ten apps ambazo ni Tanzanian made

Juzi nimeona watu wameitaja Sarafu na siijui ni app inahusu nini?

Hebu tuzitaje hapa Apps zote za Tanzania ambazo zina impact
Kuna app inaitwa swahilies n app nzurii na ina ideas nzurii coz n app ambayo inaruhusu mtu kununua bidhaa Mtandaoni kwa kulipa kidogo kidogo au kwa kulipa kwa mara moja... Mfano unataka kununua hp envy x360 mfano ina 1.5m kule katika app ya swahilies unaweza kulipia kidogo kidogo kwa miezi mitatu au kulipa kwa mara moja app ipo playstore.. Tusapot vya kwetu vijana wamejitahidi sana

Screenshot_20210710_183335.jpg
 
Nala na SimBanking ya CRDB, apps zingine zilizobaki ni utopolo kama zilivyo apps na websites za Serikali na Mashirika/Taasisi zake.
 
Kuna app inaitwa swahilies n app nzurii na ina ideas nzurii coz n app ambayo inaruhusu mtu kununua bidhaa Mtandaoni kwa kulipa kidogo kidogo au kwa kulipa kwa mara moja... Mfano unataka kununua hp envy x360 mfano ina 1.5m kule katika app ya swahilies unaweza kulipia kidogo kidogo kwa miezi mitatu au kulipa kwa mara moja app ipo playstore.. Tusapot vya kwetu vijana wamejitahidi sana

View attachment 1848637
Idea nzuri sana. Labda ishu kwenye mambo ya uaminifu na usalama wa pesa.
 
no hard feelings, ila ki ukweli app kama app kwa Tz ni chache to HAKUNA

nyingi ya izo apps sijui Ayo, jF, ni 'web app' zinazorun kwa 'server', ni takataka

zile 'native' hasa, kama NALA ya fernandez bongo ni za kwa 'tochi'

Duh ..
 
Back
Top Bottom