Top ten apps Tanzanian made

Top ten apps Tanzanian made

Kama ni zilizotengenezwa na watanzania Nafikiri Yanga App Jamaa wameitendea Haki japo upande wa Update haiko active.
 
App ya jiji kwangu ndio app bora mpaka sasa bongo maana user friend sana na kila unachosaka unapata kwa ufupi kwa mm
1.jiji app
2.sarafu
3.nmb mkononi
4.tigopesa
5.nilipe
6.sportpesa

Mpaka sasa hizo app zinaubora wa hali ya juu sana
 
App ya jiji kwangu ndio app bora mpaka sasa bongo maana user friend sana na kila unachosaka unapata kwa ufupi kwa mm
1.jiji app
2.sarafu
3.nmb mkononi
4.tigopesa
5.nilipe
6.sportpesa

Mpaka sasa hizo app zinaubora wa hali ya juu sana
Sizani Kama zote zimetengenezwa Na Mtanzania
 
no hard feelings, ila ki ukweli app kama app kwa Tz ni chache to HAKUNA

nyingi ya izo apps sijui Ayo, jF, ni 'web app' zinazorun kwa 'server', ni takataka

zile 'native' hasa, kama NALA ya fernandez bongo ni za kwa 'tochi'
Huyu Fernandez japo ni mbongo ila ana mentallity ya majuu kabisa.
 
Kuna hii app ya kusoma vitabu vya kiswahili bure(i declare interest). Inaitwa maktaba(by pictuss).
hii sio kuwa inahitaji malipo?

Screenshot_20210714-154125~2.png
 
Back
Top Bottom