Ni salama sijaona janja janja zozote coz nilinunua smart tv nilipo maliza tuu ndani ya masaa 24 nilipokea tv yanguIdea nzuri sana. Labda ishu kwenye mambo ya uaminifu na usalama wa pesa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni salama sijaona janja janja zozote coz nilinunua smart tv nilipo maliza tuu ndani ya masaa 24 nilipokea tv yanguIdea nzuri sana. Labda ishu kwenye mambo ya uaminifu na usalama wa pesa.
Sizani Kama zote zimetengenezwa Na MtanzaniaApp ya jiji kwangu ndio app bora mpaka sasa bongo maana user friend sana na kila unachosaka unapata kwa ufupi kwa mm
1.jiji app
2.sarafu
3.nmb mkononi
4.tigopesa
5.nilipe
6.sportpesa
Mpaka sasa hizo app zinaubora wa hali ya juu sana
Huyu Fernandez japo ni mbongo ila ana mentallity ya majuu kabisa.no hard feelings, ila ki ukweli app kama app kwa Tz ni chache to HAKUNA
nyingi ya izo apps sijui Ayo, jF, ni 'web app' zinazorun kwa 'server', ni takataka
zile 'native' hasa, kama NALA ya fernandez bongo ni za kwa 'tochi'
hii sio kuwa inahitaji malipo?Kuna hii app ya kusoma vitabu vya kiswahili bure(i declare interest). Inaitwa maktaba(by pictuss).
Elimu kubwa yule bwana mdogo plus exposureHuyu Fernandez japo ni mbongo ila ana mentallity ya majuu kabisa.
Mwanzo ilikuwa ya kusubscribe lakini sasa ni free.