Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii sarafu nafikiri inajishughulisha na mambo ya malipo. Ni ya Azam kama sijakosea.Tusaidiane kuzijua top ten apps ambazo ni Tanzanian made
Juzi nimeona watu wameitaja Sarafu na siijui ni app inahusu nini?
Hebu tuzitaje hapa Apps zote za Tanzania ambazo zina impact
Ni app inayomwezesha mwenye biashara ya duka kuagiza bidhaa zake, kwa njia ya mtandao na kuletewa bure. Ni bidhaa za azam pekeeHii sarafu nafikiri inajishughulisha na mambo ya malipo. Ni ya Azam kama sijakosea.
"Ukweli ni lazima usemwe" chuma 2016App nyingi za watz huwa ziko kama vile zimetengenezawa na watoto
Nafikiri bajeti inakuwa ndogo. Za wenzetu nzuri sana. Hata kutumia nyepesi balaa.App nyingi za watz huwa ziko kama vile zimetengenezawa na watoto
Kuna app inaitwa swahilies n app nzurii na ina ideas nzurii coz n app ambayo inaruhusu mtu kununua bidhaa Mtandaoni kwa kulipa kidogo kidogo au kwa kulipa kwa mara moja... Mfano unataka kununua hp envy x360 mfano ina 1.5m kule katika app ya swahilies unaweza kulipia kidogo kidogo kwa miezi mitatu au kulipa kwa mara moja app ipo playstore.. Tusapot vya kwetu vijana wamejitahidi sanaTusaidiane kuzijua top ten apps ambazo ni Tanzanian made
Juzi nimeona watu wameitaja Sarafu na siijui ni app inahusu nini?
Hebu tuzitaje hapa Apps zote za Tanzania ambazo zina impact
Idea nzuri sana. Labda ishu kwenye mambo ya uaminifu na usalama wa pesa.Kuna app inaitwa swahilies n app nzurii na ina ideas nzurii coz n app ambayo inaruhusu mtu kununua bidhaa Mtandaoni kwa kulipa kidogo kidogo au kwa kulipa kwa mara moja... Mfano unataka kununua hp envy x360 mfano ina 1.5m kule katika app ya swahilies unaweza kulipia kidogo kidogo kwa miezi mitatu au kulipa kwa mara moja app ipo playstore.. Tusapot vya kwetu vijana wamejitahidi sana
View attachment 1848637
no hard feelings, ila ki ukweli app kama app kwa Tz ni chache to HAKUNA
nyingi ya izo apps sijui Ayo, jF, ni 'web app' zinazorun kwa 'server', ni takataka
zile 'native' hasa, kama NALA ya fernandez bongo ni za kwa 'tochi'