Top ten Bongo male celebrities (wasanii)

Tanzania hatuna somo la maadili wala maadili yenyewe.

Niambie Waziri aliyepata ajali akiwa na mwanachuo akafa yuko wapi?

Mafisadi wa CAG wako wapi?

Au maadili ni kutotaja viungo vya siri pekee?

Tuache kuidanganya dunia kuwa kuna maadili ya Kitanzania.
 
mtoto wangu hawezi kuimba hivyo mbele yangu haijawahi tokea na haitatokea. Anajua wapi anaweza kuimba hivyo but not in ny presence.
 
Rayvanny nje ya WCB hana maajabu...

Harmonize kwenye kutunga mashairi[emoji91][emoji91][emoji91]Na ndiyo sababu pale usafini bado anawaumiza vichwa sana.
 
ana safari ndefu sana alikuwa anamchukulia jeshi ni mtu poa sana wacha apitie maisha nje ya wcb tumuone . Raha nzuri tutampima kwa kuwa hana vuguvugu la ugomvi alipotoka tofauti na mwenzake alivyoondoka asipopanda tutajua hamna kitu.
Alimchukilia Konde poa akadhani ni rahisi.

Vanny Boy ili wimbo wake utrend lazima Mond au msanii yoyote wa Usafini awepo.
 
Inawezekana kabisa😅
Ila ndo tunawafurahia na kwenye majukwaa ya kisiasa wanaalikwa kuimba upuuzi huo huo na wazee wako hapo na vitambi vyao wanacheza na kupiga makofi😀😀
Eeh..

Uzuri hawa vijana wanaoziimba na kupanda juu ya meza ndio baadae tunawaita Wazee wa Busara ambao sisi watoto wadogo tutawaomba ushauri....

Uzee ni Umri tu.. akili na utashi hauzeeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…