Top ten Bongo male celebrities (wasanii)

Top ten Bongo male celebrities (wasanii)

Kwani celebrities ni wanamuziki tu, mbona hujawaweka hata actors

Kingine unamuwekaje lavalava, mbosso, billnass na whozu juu ya jux kwenye uselebriti

Au unadhani kuwa celebrity ni kutengeneza hit songs tu mkuu, lazma ushawishi uwe nao
 
Tuweke ushabiki pembeni. Nyimbo za kiba zinaishi kuliko za mondi.
Zinaweza zisiwe hit songs lkn ni nzuri, zenye ujumbe murua. Zina maadili na zinasikilizika na rika lote.
Mwaka huu hakuna wimbo wa mondi unaushinda huu wa alikiba kwa utamu..

 
Back
Top Bottom