Top ten Bongo male celebrities (wasanii)

Diamond ni top celebrity kwa Tanzania na mtu kupinga ni aamue.

Lakini hapo kwenye kuongelewa Nigeria ni kwa sababu ya kuwa copy cat wao lakini sio kwa sababu wanafuatilia kitu kingine kutoka kwake

Ndio maana Diamond kashikilia hapo hapo maana inamlipa. Si umeona wimbo wake na Chike umefanya vizuri Nigeria 😁😁

Hicho kitu anakiweza Vanesa mdee tu hata kabila ya kuwa na rotimi. Vee kiufupi ndio alikuwa msaanii wa tz mwenye power kubwa nje ya East Africa kuliko wote na diamond akiwemo
Ni ww tu umechagua huo upande wa copy cat maana ata kazi zake my baby remix ilikuwa na #1 trending in youtube Nigeria na ata shu ilikuwa ngoma #1 kwenye iTunes Nigeria.

Mbali na hivyo kuna content creator kutoka Nigeria amekuwa akitengeneza comedy clips kupitia clips za Diamond, wanamuziki wa Nigeria wana appreciate ukubwa wa Diamond eg Mr Flavor amewahi kuongelea ukubwa wa Diamond kwenye digital numbers km youtube na wengine mara nyingi wamekuwa quoted mara nyingi wakitamani kufanya kazi na Diamond.

Davido kipindi akiwachangisha rafik zake kwenye birthday yake Diamond alikuwa included pekee kutoka East Africa, so ni ww tu umeamua kuchagua huo upande wa copy cat ambao ni mashabk tu uongea na sio influential figures
 
Una Chuki binafsi na mwanetu sijui alikuacha ??
Tuandikie kisa chako tujue😂
Ukiileta kwa wahuni
Tunaila na hatuitoi gundu
Kwa utamu gani
Kama tukitaka kuila tunaila hata kwa sabuni
Aaaiiishu ushu ushu
Wezombi eei wezombi
🤪
 
Ni ww tu umechagua huo upande wa copy cat maana ata kazi zake my baby remix ilikuwa na #1 trending in youtube Nigeria na ata shu ilikuwa ngoma #1 kwenye iTunes Nigeria.

Mbali na hivyo kuna content creator kutoka Nigeria amekuwa akitengeneza comedy clips kupitia clips za Diamond, wanamuziki wa Nigeria wana appreciate ukubwa wa Diamond eg Mr Flavor amewahi kuongelea ukubwa wa Diamond kwenye digital numbers km youtube na wengine mara nyingi wamekuwa quoted mara nyingi wakitamani kufanya kazi na Diamond.

Davido kipindi akiwachangisha rafik zake kwenye birthday yake Diamond alikuwa included pekee kutoka East Africa, so ni ww tu umeamua kuchagua huo upande wa copy cat ambao ni mashabk tu uongea na sio influential figures

Sasa bro unashangaa watu kama Mr flavour na davido kumuongelea ilhali washafanya collabo nae na kwa kiasi flani wamechangia pakubwa kumpeleka international.

Kingine Diamond ndio top artist kwa sasa kwa ukanda wa Africa Mashariki na msanii yoyote akiitarget EA lazma Diamond atakuwa sehemu ya choices zake, mbona hicho kitu kipo wazi mkuu lakini kusema jamaa kapenya Nigeria na kuwa household name, itakuwa soko la Nigeria hulijui

Pamoja na collabo nyingi alizofanya na wanaijeria ila hakuwahi kupata attention yao kama hiki kipindi cha kuonekana kama "copy cat" Wao

Ndio maana Diamond sasa hivi yupo invested kwenye huo mkakati ambao unaonekana kumpa sikio la wapopo

Unataka kuongelea bloggers na forums, kaangalie posts za linda ikeji, bellanaija na nairaland toka enzi hizo, halafu angalia comment na participation yao ndio utajua kuwa nigeria washaweka uzio.. Kama sio wao hawajali ila kwa vanessa kidogo walimpa attention haswa baada ya kuwa karibu na Victoria kimani na wasanii wengine ambao ilikuwa rahisi kwake kutokana na utangazaji wake wa MTV
 
Ahsanteeeee!!!
Akiileta kwa wahuni
Tunaila na hatuitoi gundu
Kwa utamu gani kwani
Tukitaka kuila tunaila hata kwa sabuni
Aeeshu ushu uushu
Wezombi ee wezombi
Nasimba lamasimba dangote
Ushuu zi
🤪
 
Sasa bro unashangaa watu kama Mr flavour na davido kumuongelea ilhali washafanya collabo nae na kwa kiasi flani wamechangia pakubwa kumpeleka international.

Kingine Diamond ndio top artist kwa sasa kwa ukanda wa Africa Mashariki na msanii yoyote akiitarget EA lazma Diamond atakuwa sehemu ya choices zake, mbona hicho kitu kipo wazi mkuu lakini kusema jamaa kapenya Nigeria na kuwa household name, itakuwa soko la Nigeria hulijui

Pamoja na collabo nyingi alizofanya na wanaijeria ila hakuwahi kupata attention yao kama hiki kipindi cha kuonekana kama "copy cat" Wao

Ndio maana Diamond sasa hivi yupo invested kwenye huo mkakati ambao unaonekana kumpa sikio la wapopo

Unataka kuongelea bloggers na forums, kaangalie posts za linda ikeji, bellanaija na nairaland toka enzi hizo, halafu angalia comment na participation yao ndio utajua kuwa nigeria washaweka uzio.. Kama sio wao hawajali ila kwa vanessa kidogo walimpa attention haswa baada ya kuwa karibu na Victoria kimani na wasanii wengine ambao ilikuwa rahisi kwake kutokana na utangazaji wake wa MTV
Nani amekwambia Diamond amekuwa household name Nigeria? Diamond kuitwa copy cat itakuwa ww huelewi soko lo Nigeria lilivyo, Nigerians hawawapi promo kwa wasanii ambao si wa Nigeria na wana wa attack wasanii wwte wale ambao ni threats kwao.

Hilo suala ata shatta wale ameliongelea kuwa Nigerians wako pride juu yao na kujiona wao ndio kila kitu.

Na issue khsu copy cat ata Burna, Wizkid, Davido wana sample sana ngoma za watu juzi tu hapa huu mwaka kulikuwa na majibizano kati ya Nigeria na Ghana juu ya Wizkid na Burna ku sample baadhi ya ngoma kutoka Ghana na Burna boy 90% ya ngoma zake ana sample kutoka kwa watu kama Fella Kutti.

Bongo wenyewe wasanii wote wana sample ngoma za watu kuanzia ali hadi harmonize, Ali na harmonize wana collabo na wa Nigeria mbona wao hawawi recognised km Diamond?

Alaf unaposema et Daimond anashikilia mpini kwenye ku sample ngoma za Nigeria maana ndio pesa yake ilipo una feli ndugu kwa vile Diamond anafanya kila lililo legal na havunji sheria mbona ana sample hadi ngoma za kikongo na wakongo wapo kimya?

Na unaposema kina Davido na Mr Flavour ndio wamemsogeza Diamond hilo sio maana km ingekuwa hivyo basi kina Joh Makini na Dayana Nyange nao wange bustiwa, Diamond kafanya mengi kuwa hapo alipo na sio tu collabo na Wanigeria tu
 
Kwani waigizaji sio wasanii..

Na hata ukiongelea 2023 sijaona kitu ambacho lavalava au whozu amefanya kuliko jux

Na kingine kinachomuweka jux siku zote ni mahusiano yake, muziki na ile hali ya kuwa fashion icon kwa wasanii

Jux sio lazma aimbe ili aongelewe,
vipi kuhusu hao wengine au ulitumia video vipi kupima nguvu yao mkuu
Ok naongelea bongo flavour artists. But still hata tukiwainclude ma actors unahisi nani anaingia kwenye hii top 10. Kwa 2023
 
Nani amekwambia Diamond amekuwa household name Nigeria? Diamond kuitwa copy cat itakuwa ww huelewi soko lo Nigeria lilivyo, Nigerians hawawapi promo kwa wasanii ambao si wa Nigeria na wana wa attack wasanii wwte wale ambao ni threats kwao.

Hilo suala ata shatta wale ameliongelea kuwa Nigerians wako pride juu yao na kujiona wao ndio kila kitu.

Na issue khsu copy cat ata Burna, Wizkid, Davido wana sample sana ngoma za watu juzi tu hapa huu mwaka kulikuwa na majibizano kati ya Nigeria na Ghana juu ya Wizkid na Burna ku sample baadhi ya ngoma kutoka Ghana na Burna boy 90% ya ngoma zake ana sample kutoka kwa watu kama Fella Kutti.

Bongo wenyewe wasanii wote wana sample ngoma za watu kuanzia ali hadi harmonize, Ali na harmonize wana collabo na wa Nigeria mbona wao hawawi recognised km Diamond?

Alaf unaposema et Daimond anashikilia mpini kwenye ku sample ngoma za Nigeria maana ndio pesa yake ilipo una feli ndugu kwa vile Diamond anafanya kila lililo legal na havunji sheria mbona ana sample hadi ngoma za kikongo na wakongo wapo kimya?

Na unaposema kina Davido na Mr Flavour ndio wamemsogeza Diamond hilo sio maana km ingekuwa hivyo basi kina Joh Makini na Dayana Nyange nao wange bustiwa, Diamond kafanya mengi kuwa hapo alipo na sio tu collabo na Wanigeria tu
Kuhusu mond kusapotiwa na davido hata yeye alisema na kukiri na kumshukuru davido, remix ya number 1, na alisema alitumia mkwanja mwingi pale nusu kufilisika, lakini imemuingizia faida kubwa kwa mujibu wa chibu, na kweli imeleta faida.
 
Nani amekwambia Diamond amekuwa household name Nigeria? Diamond kuitwa copy cat itakuwa ww huelewi soko lo Nigeria lilivyo, Nigerians hawawapi promo kwa wasanii ambao si wa Nigeria na wana wa attack wasanii wwte wale ambao ni threats kwao.

Hilo suala ata shatta wale ameliongelea kuwa Nigerians wako pride juu yao na kujiona wao ndio kila kitu.

Na issue khsu copy cat ata Burna, Wizkid, Davido wana sample sana ngoma za watu juzi tu hapa huu mwaka kulikuwa na majibizano kati ya Nigeria na Ghana juu ya Wizkid na Burna ku sample baadhi ya ngoma kutoka Ghana na Burna boy 90% ya ngoma zake ana sample kutoka kwa watu kama Fella Kutti.

Bongo wenyewe wasanii wote wana sample ngoma za watu kuanzia ali hadi harmonize, Ali na harmonize wana collabo na wa Nigeria mbona wao hawawi recognised km Diamond?

Alaf unaposema et Daimond anashikilia mpini kwenye ku sample ngoma za Nigeria maana ndio pesa yake ilipo una feli ndugu kwa vile Diamond anafanya kila lililo legal na havunji sheria mbona ana sample hadi ngoma za kikongo na wakongo wapo kimya?

Na unaposema kina Davido na Mr Flavour ndio wamemsogeza Diamond hilo sio maana km ingekuwa hivyo basi kina Joh Makini na Dayana Nyange nao wange bustiwa, Diamond kafanya mengi kuwa hapo alipo na sio tu collabo na Wanigeria tu

Bro naona hatujadiliani zaidi ya kubishana kwa sababu tayari umeshaweka kichwani kuwa, yoyote anaeongelea kitu tofauti na matarajio yako kwa Diamond ni kama "hater" Wake. Na haupo peke yako humu

Imagine unabishana na facts ambazo hata Diamond na managers wake walishaliongelea.

Yani unabisha hadi role ya davido kupitia my number one remix na role ya mr flavour kupitia Nana katika kumpeleka Diamond international

Na wanapoongelea u_copy cat sio tu muziki ni hadi muonekano. Hiyo issue ya burna kuwa influenced na Fella kuti mbona ipo wazi maana mama yake alifanya nae kazi, hata wimbo wake wa last last kasample wimbo wa tony braxton lakini kampa royalties na acknowledgement, vipi kuhusu Diamond?..

Na nani alikuambia kuwa kila wimbo ni lazma uwe "hit" Kwa sababu umefanya na mtu mkubwa unless huujui muziki

Mengine umejibu bila kuelewa comment yangu na hii ndo text yangu ya mwisho katika hili, ushindi chukua mkuu
 
Kuhusu mond kusapotiwa na davido hata yeye alisema na kukiri na kumshukuru davido, remix na number 1, na alisema alitumia mkwanja mwingi pale nusu kufilisika, lakini imemuingizia faida kubwa kwa mujibu wa chibu, na kweli imeleta faida.
Sasa ww ulidhania
Bro naona hatujadiliani zaidi ya kubishana kwa sababu tayari umeshaweka kichwani kuwa, yoyote anaeongelea kitu tofauti na matarajio yako kwa Diamond ni kama "hater" Wake. Na haupo peke yako humu

Imagine unabishana na facts ambazo hata Diamond na managers wake walishaliongelea.

Yani unabisha hadi role ya davido kupitia my number one remix na role ya mr flavour kupitia Nana katika kumpeleka Diamond international

Na wanapoongelea u_copy cat sio tu muziki ni hadi muonekano. Hiyo issue ya burna kuwa influenced na Fella kuti mbona ipo wazi maana mama yake alifanya nae kazi, hata wimbo wake wa last last kasample wimbo wa tony braxton lakini kampa royalties na acknowledgement, vipi kuhusu Diamond?..

Na nani alikuambia kuwa kila wimbo ni lazma uwe "hit" Kwa sababu umefanya na mtu mkubwa unless huujui muziki

Mengine umejibu bila kuelewa comment yangu na hii ndo text yangu ya mwisho katika hili, ushindi chukua mkuu
Jamaa ulivyo hater kwa Mond "Hiyo issue ya burna kuwa influenced na Fella kutti" check maneno unayotumia ila diamond et ni copy cat. Aya Fella kutti alilipwa royalties?????

Na managers wa Diamond au Diamond ku wa recognised Davido au Mr Flavour ni kuendelea kuweka mahusiano yao ya kikazi sawa, kwani Davido hana collabo nyingine na wabongo? Mbona wao hakuwasogeza kimataifa? Hilo nakupinga kwa ssb since then Diamond amekuwa aki appear katika matukio makubwa ya kimuziki duniani kama kupata tuzo au shows ata bila hao kina Davido au Mr Flavour.

Ingekuwa angegota kimafanikio baada ya influence ya Mr Flavour na Davido km ilivyokuwa kwa Ali kiba, Ali kiba baada ya kupata connection ya kimataifa enzi za kina R Kelly basi ningekwambia.

Ila kwa Diamond has been growing even without those A list artist in Nigeria.

Na kuhusu muonekano Diamond ndio kaanza kuvaa hivi wayback, koti kwenye commando wa Nigeria wanadai amemuiga burna wakati Diamond alishalitumia kwenye tetema, kuvaa oversize Diamond kavaa even before wasanii wabongo hawajuhi fashion, buti la jeje, suruali la jeje ila watu wakawa wanamcheka ila sasa hv wasanii wote wakibongo wanavaa hivyo.

Kuvaa vidani mbali mbali Diamond ndio muda sana anavaa ila kwa vile tutafute fimbo ya kumchapia tumwambie anamuiga Asake wakati Asake ata miaka 4 kwenye game hana na Diamond tayari amekuw akivaa hivyo, au Diamond ndio mara ya kwanza kusuka?

Au kila wanalosema hao wanigeria ni kweli???? Diamond amekuwa akifanya hivyo miaka mingi nyuma tena sidhani km anamuiga msanii fulani kutoka Nigeria maaana hizo fashion huwa trends za dunia
 
Bro naona hatujadiliani zaidi ya kubishana kwa sababu tayari umeshaweka kichwani kuwa, yoyote anaeongelea kitu tofauti na matarajio yako kwa Diamond ni kama "hater" Wake. Na haupo peke yako humu

Imagine unabishana na facts ambazo hata Diamond na managers wake walishaliongelea.

Yani unabisha hadi role ya davido kupitia my number one remix na role ya mr flavour kupitia Nana katika kumpeleka Diamond international

Na wanapoongelea u_copy cat sio tu muziki ni hadi muonekano. Hiyo issue ya burna kuwa influenced na Fella kuti mbona ipo wazi maana mama yake alifanya nae kazi, hata wimbo wake wa last last kasample wimbo wa tony braxton lakini kampa royalties na acknowledgement, vipi kuhusu Diamond?..

Na nani alikuambia kuwa kila wimbo ni lazma uwe "hit" Kwa sababu umefanya na mtu mkubwa unless huujui muziki

Mengine umejibu bila kuelewa comment yangu na hii ndo text yangu ya mwisho katika hili, ushindi chukua mkuu
Kitu ambacho hujui Burna si hizo ngoma tu album ndio kasample bali ndio maisha yake. Au ww uliwahi kusikia kuna msanii amelalalmika kazi yake imekuwa copied na Diamond???
 
Komando komando komando waambie sisi ndo vipensi komando
Komando komando waambie sisi ndo vipensi komando
Komando sisi komando waambie sisi ndo vipensi komando
Komando komando waamboe sisi ndo vipensi komando

Ka big G yaani utamu ka big G
Ka big G yaani utamu ka big G
😂😂😂
Omalicha Omalicha
Na viwowo feki unatingisha, unaona sifa tu misifa,
We endelelea kugigida utazilipa,
😂😂
 
Back
Top Bottom