Ndio utaje lini harmonize umemuona kwenye headlines nje ya mipaka ya Tz??? Au huwausikii balaa la Mond na wa nigeria?
Nenda ukurasa wa ig unaitwa topcharts wa Nigeria huwa wanatoa taarifa khsu celebrities wanaoongoza kuzungumziwa na kwenye mitandao, the whole East Africa ni Diamond pekee huwa anaongoza kutokea mara kwa mara kwenye huo ukurasa.
Page za udaku zinatazamwa hadi nje ya Tz, acha utani ndugu hv kuna page yyte ya udaku ya bongo ambayo ni maarufu nje ya mipaka ya Tz? Ingekuwa hivyo basi bongo tungekuwa tuna celebrities wengi wanaotambulika Africa