Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Alikiba mbn mnamtaja taja sana ? Huyo hamna kitu ukisema utaje list ya watu clean.Hizohizo ndo wahuni wanaruka nazo.
Kwan huyo anayeimba "kwa utamu gani hata kwa sabuni naupata"??
Kiufupi hatuna wasanii sikuiz tuna watafuta riziki, wasanii ni akina Hussein machozi, T.I.D na Alikiba