Kila masika ina mbu wake , hao wako enzi zao zimeshapitaDaa, watu wanaojua mpira wanazidi kuisha kila kukicha. Miaka 18 iliyopita hakuna mtu angewawaza hawa watu. Ungeanzaje wakati Kuna hawa miamba.
Vieira, Roy Kean, Claude makele, Michael Ballack, Gerrard, scoles, beckam, Denis Beckamp, Rui Costa, Pirlo, Genaro Gatuso, Nedved, Zidane. Gaucho, Lampard, Kaka, Edgar Davis, Seedolf, Jay Jay Okocha, Luis Figo.
Unabaki unajiuliza hawa wachezaji walikuwa wanatoka wapi. Leo kila mtu mwenye miguu miwili anaweza cheza football eti
Ndio matakataka gani
- Frenkie De jong
- Luka modric
- Brozovic
- Rodri
- Partey
- Casemiro
- Joshua kimmich
- De bruyne
- Bruno fernandez
- Odegaard
1.De BruyneWeka top ten yako mazee tuone
Ndio, cha pilau lakini, labda hiliki.Kumbe Falcao alikua kiungo.
Mkude.Kwa sasa ukiambiwa utaje top ten midfielders... unaweza weka Nani ukaacha Nani?..
1. Debruyne
2.Caisedo
3. Tchoumeni..
4. Jude Bellingham.
.5. Musiala..
6. casemiro
7.Ordegaard .
8. Rodri..
9.pedri
10. Bruno Guimares....
Weka yako tuone
Wa zama zipi?Kwa sasa ukiambiwa utaje top ten midfielders... unaweza weka Nani ukaacha Nani?..
1. Debruyne
2.Caisedo
3. Tchoumeni..
4. Jude Bellingham.
.5. Musiala..
6. casemiro
7.Ordegaard .
8. Rodri..
9.pedri
10. Bruno Guimares....
Weka yako tuone
Najua umeuliza kwa kebehi, ila huyo Falcao unaemjua wewe amepewa jina kwa heshima ya huyu mwambaView attachment 2525597