Qualtrics
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 272
- 388
Kila masika ina mbu wake , hao wako enzi zao zimeshapitaDaa, watu wanaojua mpira wanazidi kuisha kila kukicha. Miaka 18 iliyopita hakuna mtu angewawaza hawa watu. Ungeanzaje wakati Kuna hawa miamba.
Vieira, Roy Kean, Claude makele, Michael Ballack, Gerrard, scoles, beckam, Denis Beckamp, Rui Costa, Pirlo, Genaro Gatuso, Nedved, Zidane. Gaucho, Lampard, Kaka, Edgar Davis, Seedolf, Jay Jay Okocha, Luis Figo.
Unabaki unajiuliza hawa wachezaji walikuwa wanatoka wapi. Leo kila mtu mwenye miguu miwili anaweza cheza football eti