Top ten midfielders in the world....

Top ten midfielders in the world....

Daa, watu wanaojua mpira wanazidi kuisha kila kukicha. Miaka 18 iliyopita hakuna mtu angewawaza hawa watu. Ungeanzaje wakati Kuna hawa miamba.
Vieira, Roy Kean, Claude makele, Michael Ballack, Gerrard, scoles, beckam, Denis Beckamp, Rui Costa, Pirlo, Genaro Gatuso, Nedved, Zidane. Gaucho, Lampard, Kaka, Edgar Davis, Seedolf, Jay Jay Okocha, Luis Figo.
Unabaki unajiuliza hawa wachezaji walikuwa wanatoka wapi. Leo kila mtu mwenye miguu miwili anaweza cheza football eti
Kila masika ina mbu wake , hao wako enzi zao zimeshapita
 

Paul Pogba

“Everybody knows that N’Golo Kante can run for 11 players – that’s his best quality…He’s everywhere!”
 
Weka top ten yako mazee tuone
1.De Bruyne
2.Marco Verrati
3.Luka Modric
4.Toni Kroos
5.N'golo Kante
6.Thiago Alcantara
7.Declan Rice
8.Bernado Silva
9.Andre Zambo Anguissa
10.Martin Odegaard.
Nyongeza -Alec Mac Allister.
 
Kwa sasa ukiambiwa utaje top ten midfielders... unaweza weka Nani ukaacha Nani?..

1. Debruyne

2.Caisedo

3. Tchoumeni..

4. Jude Bellingham.
.5. Musiala..
6. casemiro
7.Ordegaard .
8. Rodri..
9.pedri
10. Bruno Guimares....


Weka yako tuone
Mkude.
 
Kwa sasa ukiambiwa utaje top ten midfielders... unaweza weka Nani ukaacha Nani?..

1. Debruyne

2.Caisedo

3. Tchoumeni..

4. Jude Bellingham.
.5. Musiala..
6. casemiro
7.Ordegaard .
8. Rodri..
9.pedri
10. Bruno Guimares....


Weka yako tuone
Wa zama zipi?
 
Back
Top Bottom