ABEDNEGO CHARLES
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 567
- 104
Jamani, uranium bado hawajaanza kuichimba. Tunasubiri mahandaki yatakayo salia km urithi wa watanzania huko Dodoma na Ruvuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The top ten compliant taxpayers from different sectors under the category of large taxpayers included Estim Construction Company Limited (Engineering), NMB (Financial), Sopa Management (Hotels) and TBL (Manufacturing). Others are the Resolute Tanzania Limited (Mining), TPC (Processing and Distribution), Freight Forwarders (T) Ltd (Transportation), Simba Telecom Tanzania Limited (Telecommunication) and Ngorongoro Crater Conservation Area (Tourism).
"Estim Construction" - ni Subhash Patel. am glad kwamba mhindi huyu sasa ameanza kulipa kodi.
Maskini nchi yangu makampuni makubwa ndo hayalipi kodi wakati hayo ndo yalikuwa yanatakiwa yawe pioneer katika ulipaji wa kodi kwa mfano south korea hayo makampuni known as Conglomerate maarufu kama chaebol group yaani HYUNDAI, SUMSUNG KIA, LG ndo yanaendesha serikali sisi kwetu AZAM ana maximize profit tuu
Bakresa ananuka rushwa. Naweza thibitisha hili
Wengine wanajifichia wapi?
TRA wamegawa haya makampuni ki sekta, hivyo BAKHRESA alitakiwa kuwa among walipa kodi wakubwa. Usisahau ni Kati ya matajiri wakubwa Africa, ikiwa na maana anazalisha sana pia.Hilo halijaniingia kutosha kwa sababu Ice-cream bag huwezi kulinganisha thamani yake na mteja mmoja mbuga ya wanyama hoteli number one duniani ambaye analipa zaidi ya $ 1200 kwa siku. Au gharama ya kutengeneza barabara moja kwa siku kama utaweza kulinganisha na bidhaa za Ice-cream inayouzwa kwa siku. Ni mawazo yangu tu kwa kupima mapana na marefu katika mapato ya makampuni hayo ambayo hulipa kodi.
Food manufacturing kuna baadhi ya uharibifu au kurudishwa na wateja ambavyo hutupwa, navyo huingizwa kwenye mahesabu ambayo yanapunguza kodi, haya hayakwepeki po pote kama restaurant chakula kisichonunuliwa kitatupwa na hiyo inakuwa included ya hasara za restaurant ambacho automatically zitaathiri malipo ya kodi.
Tusiangalie ukubwa wa nyumba, bali dhamani ya vilivyomo.
candid scope; nimeipenda analysis yako, na ni kweli, "ukubwa wa pua si wingi wa kamasi."
Mjadala bila kujua namna makampuni yanavyofanya kazi itakuwa upotoshaji tu... mfano usitegemee group companies kama IPP, S.S. Bakheresa, SUMARIA to be in top tens..........b'se they have several companies under them and those are the one recognized by TRA.
Na PAYE ameachwa kabisa as if si mlipa kodi mkubwa............:confused2::confused2::confused2:
Mjadala bila kujua namna makampuni yanavyofanya kazi itakuwa upotoshaji tu... mfano usitegemee group companies kama IPP, S.S. Bakheresa, SUMARIA to be in top tens..........b'se they have several companies under them and those are the one recognized by TRA.