Top TEN walipa KODI KISEKTA, No Voda, AZAM wala Lake Oil/Kobil/RIZ-One.

Jamani, uranium bado hawajaanza kuichimba. Tunasubiri mahandaki yatakayo salia km urithi wa watanzania huko Dodoma na Ruvuma
 
Hata kampuni za IPP hazimo?na huyu manji je?
 

"Estim Construction" - ni Subhash Patel. am glad kwamba mhindi huyu sasa ameanza kulipa kodi.[/QUOTE]

hivi hatuna sheria ya back taxes.mtu kama huyu amechuma sana,tuanzae kumuhesabia zile alizokua halipi awekewe kama deni.
 
nashangaa sijawaona kina barrick gold na migodi mingine?its only in Tanzania were the impossible can happen
 
"Estim Construction" - ni Subhash Patel. am glad kwamba mhindi huyu sasa ameanza kulipa kodi.

Mimi kichwa kina uma hapa, wako wapi Tigo, voda, airtel na wengine?[/QUOTE]

hata mimi nina ugonjwa huohuo kwenye red! Kwa michanganuo na taarifa za mwaka (annual finacial report) za makampuni ya cm TZ ni siri???? kama ni siri , je Taarifa za kodi zao pia ni siri????? Hili linchi linanuka nuka rushwa, wizi na dhuluma za waziwazi.Kila anayechaguliwa kuwa waziri wa mawasiliano anatulizwa na rushwa, Huko TRA nako kuna uozo uliofichika juu ya hizi kampuni.
 

Msiwalaumu Bakhresa family angalau wanalipa kodi pale wanaponunua magari ya kifahari...kuna watz wengi wanaficha hela ili waonekane maskini, Bakhresas wanatumia hela kweupe na hii ni ishara ya ulipaji kodi na biashara za wazi. juzi juzi wameingia forbes magazine ikiwa ni ishara nyingine ya ulipaji kodi ya mapato. yule muiran Rostam yuko wapi na ile Caspian yake na Voda? hata nyumba ya kuishi bongo alikua hana nasikia, hawa ndiyo wakwepaji kodi wakubwa TZ.
 
Yani haingii akilini, hawa makambuni ya simu na revenue yote hiyo wanaipeleka wapi? au ndo wanazugia na advertisement and promotion expenses kuubwaa, na pia wanazugua na managemnt fees kwenda kwa kampuni mama kama coca cola wananvyofanya?? Huu uhuni!
 
Mmhhhhhhhhhhhhh...........................................!!!!
Hii inanipasua kichwa vipande vipande, yaani nakosa wapi pa kuegemea!!!!
Mfumo wa kiuchumi wa taifa letu unahitaji restructuring kubwa sana from the family level as a baby is born to the national level as a person is an adult as a top leade of the nation, i mean a president!!
Otherwise tutegemee kuingia kwenye kitabu cha guinness book of records kama taifa la kulalamika bila kuchukua hatua, while wanaona kwa macho yao hatua za kuchukua!!

Nashauri tuanze kama individuals itachukua miaka mingi hadi kwenye level ya kifamilia na hatimae kama taifa kwa kizazi kijacho, although it takes time but there is no quick option!!
Thank you.
 
Hivi TRA wako wapi?? Kampuni inaweza kutoa msaada pesa nyingi namna hii lakini kwenye list ya walipa kodi hawapo ??...

 
Mjadala bila kujua namna makampuni yanavyofanya kazi itakuwa upotoshaji tu... mfano usitegemee group companies kama IPP, S.S. Bakheresa, SUMARIA to be in top tens..........b'se they have several companies under them and those are the one recognized by TRA.
 
TRA wamegawa haya makampuni ki sekta, hivyo BAKHRESA alitakiwa kuwa among walipa kodi wakubwa. Usisahau ni Kati ya matajiri wakubwa Africa, ikiwa na maana anazalisha sana pia.
Queen Esther
 

Unaniangusha yani VODA, TOGO, TTCL na AItel wanzidiw ana Simba Telecom Tanzania Limited (Telecommunication) ?
Haiwezekani kamwe labda kuna kitu hatukijuhi.

Wako wapi TANESCO? SOGAS? IPTL, SYMBION watu wanalipwa over 200 Mil kw asiku ila humu hawaonekani kwa nini?
 

Unaniangusha yani VODA, TOGO, TTCL na AItel wanzidiw ana Simba Telecom Tanzania Limited (Telecommunication) ?
Haiwezekani kamwe labda kuna kitu hatukijuhi.

Wako wapi TANESCO? SOGAS? IPTL, SYMBION watu wanalipwa over 200 Mil kw asiku ila humu hawaonekani kwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…