Top ten ya wanasiasa matajiri Tanganyika na Zanzibar

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Nane kati yao ni ccm na utajiri umetokana na kazi zao za kisiasa.. Hapa inahitajika sacrifice kubwa na maumivu mengi mabaya kuweza kuitoa ccm madarakani.. Maana wote hawa wana mtandao mmoja mkubwa na mitandao binafsi
 
Zitto amzidi Mbowe? Huo ni utani wa mchana kweupe. Zitto alipiga sana miaka ile kwenye madini lakini sio kwa kiwango cha kumzidi mbowe.

Akina mwinyi hao tunajua ile biashara haramu yenye mizizi kinondoni ni yao. Pia wanamiliki Azam kwa kiasi fulani.

Makinda, Makamba hawa siwaoni kama ni matajiri kihivyo japo sina taarifa zao kwa undani.

Majaliwa, Samia hawa utajiri wao unatokea pale hazina maana muda ndio huu wa kujichotea.

Kikwete huyo alipiga nyingi za escrow na dili kibao za miaka yake ya uraisi.

Rostam yeye ni mwizi, aliwaibia ccm hisa za vodacom wakati ni mweka hazina wa chama.

Dewji huyo tunajua baba yake alipiga dili za mashamba na viwanda vya uma na kupata utajiri wa bure.
 
Mwanga amekuvuruga sana 🐼
1749541566502.jpg
 
Vitu kama hivi inabidi wawe wanaonyeshwa hawa UVCCM na Mataga kama Johnthebaptist wajione wanavyotumika. Hapo ndiyo watajua Reforms maana yake nini na kwa nini CCM wanaogopa RFORMS
 
Zitto amzidi Mbowe? Huo ni utani wa mchana kweupe. Zitto alipiga sana miaka ile kwenye madini lakini sio kwa kiwango cha kumzidi mbowe.

Akina mwinyi hao tunajua ile biashara haramu yenye mizizi kinondoni ni yao. Pia wanamiliki Azam kwa kiasi fulani.

Makinda, Makamba hawa siwaoni kama ni matajiri kihivyo japo sina taarifa zao kwa undani.

Majaliwa, Samia hawa utajiri wao unatokea pale hazina maana muda ndio huu wa kujichotea.

Kikwete huyo alipiga nyingi za escrow na dili kibao za miaka yake ya uraisi.

Rostam yeye ni mwizi, aliwaibia ccm hisa za vodacom wakati ni mweka hazina wa chama.

Dewji huyo tunajua baba yake alipiga dili za mashamba na viwanda vya uma na kupata utajiri wa bure.
Imeandaliwa na wataalam lakini kutokana na findings zao
 
Nane kati yao ni ccm na utajiri umetokana na kazi zao za kisiasa.. Hapa inahitajika sacrifice kubwa na maumivu mengi mabaya kuweza kuitoa ccm madarakani.. Maana wote hawa wana mtandao mmoja mkubwa na mitandao binafsiView attachment 3364296
Siasa imekuwa biashara !!!!
Mwalimu alisema Ikulu ni mzigo - Leo uongozi ni njia ya uporaji na utajirishaji
 
Back
Top Bottom