mh mh
Vitu kama hivi inabidi wawe wanaonyeshwa hawa UVCCM na Mataga kama Johnthebaptist wajione wanavyotumika. Hapo ndiyo watajua Reforms maana yake nini na kwa nini CCM wanaogopa RFORMSZitto amzidi Mbowe? Huo ni utani wa mchana kweupe. Zitto alipiga sana miaka ile kwenye madini lakini sio kwa kiwango cha kumzidi mbowe.
Akina mwinyi hao tunajua ile biashara haramu yenye mizizi kinondoni ni yao. Pia wanamiliki Azam kwa kiasi fulani.
Makinda, Makamba hawa siwaoni kama ni matajiri kihivyo japo sina taarifa zao kwa undani.
Majaliwa, Samia hawa utajiri wao unatokea pale hazina maana muda ndio huu wa kujichotea.
Kikwete huyo alipiga nyingi za escrow na dili kibao za miaka yake ya uraisi.
Rostam yeye ni mwizi, aliwaibia ccm hisa za vodacom wakati ni mweka hazina wa chama.
Dewji huyo tunajua baba yake alipiga dili za mashamba na viwanda vya uma na kupata utajiri wa bure.
Kwani umesemwa wewe? waje wakanushe. Ni Nchi Ambayo mtu akipata mwanya basi anang'ang'ania hataki kutoka, kwa sababu ya malengoMtu unamheshimu tu vizuri yeye anapost upupu huu💔
JIZI KUBWAAAAAAAAAARaisi Samia ni mtumishi aliyenyooka sana
Imeandaliwa na wataalam lakini kutokana na findings zaoZitto amzidi Mbowe? Huo ni utani wa mchana kweupe. Zitto alipiga sana miaka ile kwenye madini lakini sio kwa kiwango cha kumzidi mbowe.
Akina mwinyi hao tunajua ile biashara haramu yenye mizizi kinondoni ni yao. Pia wanamiliki Azam kwa kiasi fulani.
Makinda, Makamba hawa siwaoni kama ni matajiri kihivyo japo sina taarifa zao kwa undani.
Majaliwa, Samia hawa utajiri wao unatokea pale hazina maana muda ndio huu wa kujichotea.
Kikwete huyo alipiga nyingi za escrow na dili kibao za miaka yake ya uraisi.
Rostam yeye ni mwizi, aliwaibia ccm hisa za vodacom wakati ni mweka hazina wa chama.
Dewji huyo tunajua baba yake alipiga dili za mashamba na viwanda vya uma na kupata utajiri wa bure.
Kwani Mbowe biashara yake ni nini hasa?Zitto amzidi Mbowe? Huo ni utani wa mchana kweupe. Zitto alipiga sana miaka ile kwenye madini lakini sio kwa kiwango cha kumzidi mbowe.
Mwanzo wa utajiri wake ni pale Bandarini.Hangaya yuko namba ngapi?
Siasa imekuwa biashara !!!!Nane kati yao ni ccm na utajiri umetokana na kazi zao za kisiasa.. Hapa inahitajika sacrifice kubwa na maumivu mengi mabaya kuweza kuitoa ccm madarakani.. Maana wote hawa wana mtandao mmoja mkubwa na mitandao binafsiView attachment 3364296