halafu ungejua kwanza unaongea na nani ndiyo uulize chanzo. Lakini pia unafikiri mimi nina chuo kikuu mpaka nione wivu kwa UDOM,wivu wa vipi na wewe unafikiri una utetezi ni kwa anufaa ya nani. Dunia ya leo mertic nje nje halafu unauliza source are you illiterate? mfano bofya hapa kwa ushamba wa info. just aclue Tanzania, United Republic of | Ranking Web of UniversitiesSource ya maelezo yako ikipatikana ntathibitisha la haikupatikana bac utakuwa na JELOUS(WIVU) na UDOM sema endelea kukipandisha chat tu endelea tena na tena mkuu..
Na kweli kavurugwa sana,mafisadi wote wa nchi hii wamesoma UDSM isipokuwa Chenge.Na hata walimu wanaofundisha vyuo vya Tanzania wengi wamesoma UDSM,kwaiyo kama UDSM ni bora kweli basi hata wanafunzi wa vyuo vingine wana ubora sawa na graduate wa UDSM.Na kama si bora basi chanzo ni UDSM.Umevulugwa sio bure
halafu ungejua kwanza unaongea na nani ndiyo uulize chanzo. Lakini pia unafikiri mimi nina chuo kikuu mpaka nione wivu kwa UDOM,wivu wa vipi na wewe unafikiri una utetezi ni kwa anufaa ya nani. Dunia ya leo mertic nje nje halafu unauliza source are you illiterate? mfano bofya hapa kwa ushamba wa info. just aclue Tanzania, United Republic of | Ranking Web of Universities
Udsm ni chuo cha kifisadi!
!
Udom ni chuo cha kisiasa!
Mimi jogoo la shamba nimeingia hmu August 2013, umri wangu JF ni miezi 3.Kichanga kishambaWe nan bhana usitake kujifanya nan apa af nkijua we nan ndo utanifanya nin xa ovyoooooo..
Na kweli kavurugwa sana,mafisadi wote wa nchi hii wamesoma UDSM isipokuwa Chenge.Na hata walimu wanaofundisha vyuo vya Tanzania wengi wamesoma UDSM,kwaiyo kama UDSM ni bora kweli basi hata wanafunzi wa vyuo vingine wana ubora sawa na graduate wa UDSM.Na kama si bora basi chanzo ni UDSM.
Nahisi huyu jamaa ali-disco UDOM sasa kaweka biff.VENDETTA za nn kama ulikuwa unazurura tu husomi!!?Mijitu mingine bwana!
Tafuta chuo usome,acha ujinga usiokusaidia!
UDOM Chuo cha kata.
Mimi jogoo la shamba nimeingia hmu August 2013, umri wangu JF ni miezi 3.Kichanga kishamba
Mkasome huko kwingine mtuache na udom yetu watoto wa wakulima