Top Universities in Tanzania 2013 List of top universities in Tanzania, United Republic

Top Universities in Tanzania 2013 List of top universities in Tanzania, United Republic

Source ya maelezo yako ikipatikana ntathibitisha la haikupatikana bac utakuwa na JELOUS(WIVU) na UDOM sema endelea kukipandisha chat tu endelea tena na tena mkuu..
halafu ungejua kwanza unaongea na nani ndiyo uulize chanzo. Lakini pia unafikiri mimi nina chuo kikuu mpaka nione wivu kwa UDOM,wivu wa vipi na wewe unafikiri una utetezi ni kwa anufaa ya nani. Dunia ya leo mertic nje nje halafu unauliza source are you illiterate? mfano bofya hapa kwa ushamba wa info. just aclue Tanzania, United Republic of | Ranking Web of Universities
 
Umevulugwa sio bure
Na kweli kavurugwa sana,mafisadi wote wa nchi hii wamesoma UDSM isipokuwa Chenge.Na hata walimu wanaofundisha vyuo vya Tanzania wengi wamesoma UDSM,kwaiyo kama UDSM ni bora kweli basi hata wanafunzi wa vyuo vingine wana ubora sawa na graduate wa UDSM.Na kama si bora basi chanzo ni UDSM.
 
mbona washikaji kila ninapofuatilia thread za vyuo bora chuo changu cha sekomu hata kutajwa tu ni balaa kuna nn? acheni fikira za kipuuzi chuo changu kwa taaluma ya elimu maalumu hapa bongo ni cha kwanza kama unabisha sema
 
halafu ungejua kwanza unaongea na nani ndiyo uulize chanzo. Lakini pia unafikiri mimi nina chuo kikuu mpaka nione wivu kwa UDOM,wivu wa vipi na wewe unafikiri una utetezi ni kwa anufaa ya nani. Dunia ya leo mertic nje nje halafu unauliza source are you illiterate? mfano bofya hapa kwa ushamba wa info. just aclue Tanzania, United Republic of | Ranking Web of Universities

We nan bhana usitake kujifanya nan apa af nkijua we nan ndo utanifanya nin xa ovyoooooo..
 
udom bado ni chuo kichanga sana ni zambi kukishindanisha na chuo kama udsm
 
Mwanangu ujakosea uyu jamaa atakuwa sio riziki ata mimi namjua,UDOM mziki mwingine usipime kabisa,nyambavu weweeeeee.y
 
We nan bhana usitake kujifanya nan apa af nkijua we nan ndo utanifanya nin xa ovyoooooo..
Mimi jogoo la shamba nimeingia hmu August 2013, umri wangu JF ni miezi 3.Kichanga kishamba
 
Na kweli kavurugwa sana,mafisadi wote wa nchi hii wamesoma UDSM isipokuwa Chenge.Na hata walimu wanaofundisha vyuo vya Tanzania wengi wamesoma UDSM,kwaiyo kama UDSM ni bora kweli basi hata wanafunzi wa vyuo vingine wana ubora sawa na graduate wa UDSM.Na kama si bora basi chanzo ni UDSM.

Chenge, LLB (Udsm), LLM (Harvard)
 
Source of information;hivi nawewe bado upo kwenye matopic ya kizamani,.
 
Nahisi huyu jamaa ali-disco UDOM sasa kaweka biff.VENDETTA za nn kama ulikuwa unazurura tu husomi!!?Mijitu mingine bwana!

Tafuta chuo usome,acha ujinga usiokusaidia!

UDOM kuna kudisco?
 
Unajua tatizo ni mfumo wa elimu tz ulivyo hoja zenu zinanikumbusha maisha ya sec kwa kua hazina mashiko comptence ya mtu au chuo upimwa kulingana na how competence he/she is kwa ujumla ni product ya chuo ilivyo.
 
Mimi jogoo la shamba nimeingia hmu August 2013, umri wangu JF ni miezi 3.Kichanga kishamba

Mi cwez kushindana na ----- ka ww usiyejua udom na udsm wanatumia mtaala m1......KILAZA kwel af et nakimbiza udsm sema sio mbaya endelea kukimbiza VILAZA wenzio bhana....
 
Back
Top Bottom