Top Universities in Tanzania 2013 List of top universities in Tanzania, United Republic


kwenden zenu huko tumien akili achen kuchaf hazina za taifa. ninawaswas na ka.niii..sa u.na.lo.*li pengine huko umekaririshwa hivyo
 
Nilijua tu degree holders wakiwa wengi wataanza kuchambuana kama karanga, mambo si haya..???!!
 
hivi mkuu una matatizo gani na udom?maana thread zako zote ni kukisema udom tu hebu niambie shida nn?
mi nahisi kuna ndugu yake alisoma pale udom akadisco ndo huwa anamtumia kuchafua jina la chuo.yeye kama nikimpendelea sana ana kachet ka form four, tusimlaumu saana .
 

Kiingereza sio kazi ya udom. Nafanya kazi na mtu wa mzumbe alishindwa kuandika report ya kiingereza.
 
Anzisha uzi mwingine we mzee wa majungu kuchwao machweo. Kamwe huwez zuia mvua kunyesha! Najua roho zinauma sana ila ndo ivo tena saivi hakuna ukiritimba ktk elimu ya bongo kama zamani. Enzi hizo kulkuwa na ttcl na saivi kuna voda,tigo,zantel,airtel n.k na hao ttcl wako hoi bin taaban wamebaki kulalama eti hawa watoto wa juzi tu mbona nahisi wanabebwa na hawalipi kodi, mara hawajui na hawana akili ya biashara, ooh sisi ndo waanzilishi wa huduma hii bongo! Ili mradi tu kuchachafya! Haya wajameni kuongea tu haitoshi tukutane mtaani tuone nani anajua ndo ufyate mkia wako na ufunge behewa lako! Upo hapo we kibibi ooh sorry ! Kibabu!
 
nilpo maliza shahada yangu hapa UDSM nilmface Dr, anishauri kuhusu (M,A)akaniambia nisome hapa au mzumbe lakini UDOM kwa sababu bado chuo kichanga hata supervision yake utata kdogo.
 
"Sir Mushi..." Kumbe mtoa mada ni kama Sir Elton John tu, zao la cameroon. Kushika ukuta sio kitu kizuri, ndio kumekuletea hii mental retardation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…