Top ya 5 mikoa iliyongoza kutoa talaka/migogoro kwenye ndoa Tanzania

Top ya 5 mikoa iliyongoza kutoa talaka/migogoro kwenye ndoa Tanzania

Ila Pwani kule watu hawajiulizi mara mbili kuhusiana na talaka.Tena kama vijana wa siku hizi moyo wa huvumilia hamna kabisa.
Haina haja ya kuvumilia matatizo mwisho ufe siku si zako. Kama hamuelewani bora kila mtu ashike 50 zake. Mambo ya kuvumiliana huku unakufa na tai shingoni yamepitwa na wakati! Maisha ni mafupi sana kuendelea kukaa sehem ambayo upendo na amani imetoweka.
 
Back
Top Bottom