Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Shogaa Mungu ni mwema sana ujueeeMungu kasikia kilio changu jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shogaa Mungu ni mwema sana ujueeeMungu kasikia kilio changu jamani
Wacha nikae kimya
Dada hongera kwa mzigo [emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:shunie
Shogaa Mungu ni mwema sana ujueee
Hongera kwa mzigoShoga angu hatimye tumepata chura [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mbona wote ume wasifia ila shinie nina wasi wasi nae bora Sky Eclat1😀emiss
Huyu atakuwa na Chura flani hivi amaizing imebinuka kwa juu ambayo mtoto wa kiume ukiingia kichwa kichwa lazima uliwe hapo maana huwezi kuchomoka,
Nafikiri wanateseka sana wale waheshimiwa wa pale dodoma punde tu apitapo huyu bidada .
2:Mama Sabrina.
Huyu anaonyesha tu kachura kake ka mkopo maana kana shawishi unaweza kumchukua na kwenda nae bank ukaombea mkopo bila mashart yeyote.
3:sky Eclate .
Huyu siyo mzee kama mnavyofikiria huyu ni type ya kina wema sepetu Chura yake imejigawa na hipsi za kutosha hapa ukiwa na Vitz yako utaona Aibu ata kumpa lift utabaki unajisemea tu kwa nini haukuwekeza na mwisho uje kumiliki ata BMW.
4:Shunie
Huyu Chura yake ni ile akitembea basi kama mko kijiweni wote macho kwake ni ya kutingishika balaa hapo usijiroge ukaenda nae mpaka ATM nakwambia utatetemesha Noti mpaka na hiyo kadi utamuachia.
5:Mumu
Huyu ndio nashindwa kabisa ata nimuelezaje maana ni balaa na kale kachura kake akivaa nguo flani hivi kanajichora yaaani usidhubutu kumpeleka kwenu hapo utaonga mpaka Nyumba ya urithi.
Ukiwa nae huyu unatakiwa kuwa na uangalizi wa Ziada.
6:
Endelezeni Ligi....................!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi siamini shogaangu nimepata chura mimi mumu mimi aki leo nalipia bar nzima gambe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sana
Hapana leo sichangii chochote kwenye uzii huuEbu tia neno jamani
Oyaaaaa unazingua ujuee kunywa mnyama basi bill kwanguHapana leo sichangii chochote kwenye uzii huu
Tayari mkuunitumie mimi PM kwanza mkuu niangalie
Swahiba kuna ukweli kwenye huo mtazamo wa mleta mada.Atakuja tuu analiandaa lichura lake akija aje full[emoji23][emoji23]
Hahaha labda konyagi zikinilevyaa ndio nitaweka neno kwenyw huu uziOyaaaaa unazingua ujuee kunywa mnyama basi bill kwangu
Kwa nn lakini sababu tuko na machura auHapana leo sichangii chochote kwenye uzii huu
Mtazamo wake si haba swahiba...Swahiba kuna ukweli kwenye huo mtazamo wa mleta mada.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi siamini shogaangu nimepata chura mimi mumu mimi aki leo nalipia bar nzima gambe
Urudi na pichaUwiiiiii nitarudi
Hahaha labda konyagi zikinilevyaa ndio nitaweka neno kwenyw huu uzi
Me ananiuzi ujuee...kisa tumeota chura?[emoji58][emoji58]Kwa nn lakini sababu tuko na machura au