hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,837
tunamsubiri rose1980 amalize chaji ndo tuanze kuchangia sredi.
kaka bora uongee tu huyo huwa anaongea huku simu iko kwenye socket
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tunamsubiri rose1980 amalize chaji ndo tuanze kuchangia sredi.
From the deepest part of my heart,nachukua this opportunity to just let out kitu ambacho most ladies see hapa JF.
Kuna topic ambazo honestly zinadisrespect wanawake,sometimes unjiuliza hivi mtu ana dada,mama,shangazi or any female relative..Najua kila mtu ana perspective yake ya kufikiri but please jamani tusiende mbali with huu uhuru,am not any one to do this but jamani wakaka msigeneralize vitu na kutoa conclusions zenu,you people just dont know how it hurts hata kama hujafanya hicho kitu.pleeeeeeeeeeeeeeeeeeeez!mara wanawake wana roho mbaya,mara malaya,mara hawjui hiki!its just not fair!kama unataka kutuelimisha,do it vizuri tu!.i wish you a lovely weekend.
Kaka,kuna vitu viko wazi tu,.and sijasema kila kitu ila kuna mahal mtu anaanza kutukana wanawake kabysaKuchangia mada uonayo ni ya kudhalilisha ni kuipa baraka. Tatizo linakuja kwenye ladha. Uonacho wewe ni cha kumdhalilisha mwanamke, mwanamke mwingine anaweza asione hivyo. Ndo ugumu wa jambo zima unapokuja. Maadili yanatofautiana baina ya mtu na mtu.
Sio usawa tu, nadhani hata wangepata usawa wangeubomoa wenyewe. Kuna topic imeanzishwa na mtu anaejiita MwanaMtama, inasomeka *NTAMPATAJE BA MKWE WANGU???* Ndo utagundua wanawake bado wanajidhalilisha wenyewe sometimes
kaka bora uongee tu huyo huwa anaongea huku simu iko kwenye socket
tracy!
umekataza wakaka kugeneralaiz halaf wewe mwenyewe umewageneralaiz wakaka hapo red? naomba kaufafanuzi kidogo, usjali mimi kawaida nakuwa always refereee kubalance sredi baina ya defendaz na etekaz.
😛out:😛out:
uchokoz tu umekujaaa ..
Asante Rose mi kinanikera kweli and some cross the limits za ethics kabysa!
wakikuzalilisha sana nishtue, faza wangu anaishi sumbawanga , nitahakikisha ninawashuhulikia kiintelijensia.
:argue: :nono: 😛eace::grouphug: 😛oa
Wanaume ambao wanadhalilisha wanawake kupitia fikra zao na maneno yao hata matendo yao kwa wanawake si mazuri.......Fikra ya mtu ina-reflect kile atakacho mtendea mwanamke.Nimechoka na hizo mada na naamini si ukweli tunapokea kule bali bitterness.Fikiria mtu anasema wewe u malaya kama hujaolewa na bikira,kama nilimpenda mwanaume na nikamheshimu kumpa sehemu ya mwili wangu,umalaya wangu ni nini,wakti mwingine nina malengo sahihi na mwanume na yeye anachokisema ndicho ninachohitaji kwa mwanaume,akigeuka akaniacha baada ya kulala nami,mi nina kosa gani,sikijui kilichokuwa kwenye moyo wake,kwamba ni ku hit and run,pengine nilimfikiria kuwa mume wangu in the near future,lakini mtu anasema malaya,such an insensitive generalisation,hakuna mtu anapenda kulala lala ovyo na wanaume,most of us tungependa walio tu bikiri wawe waume zetu.......tufundishane kwa upendo na kujadili bila kuumiza au kuzidisha majeraha ambayo watu tayari wanayo.
umeusemea moyo mama......hongera
Ur words reflect ur inner behavior!
na upunguze uchokodhii....
umeusemea moyo mama......hongera