Topic za kugeneralize na kudhalilisha wanawake

Topic za kugeneralize na kudhalilisha wanawake

Ni kweli dada mawazo yako ni mazuri ila ukiandika maoni yako tumia lugha moja ili tusiojua kiingereza tuweze kukuelewa....Swangilish sisi walizaliwa tandale kwa mtogole kinatupiga chenga...ASANTE
Samahani kaka!mazoea mabaya,ntarecbisha
 
From the deepest part of my heart,nachukua this opportunity to just let out kitu ambacho most ladies see hapa JF.
Kuna topic ambazo honestly zinadisrespect wanawake,sometimes unjiuliza hivi mtu ana dada,mama,shangazi or any female relative..Najua kila mtu ana perspective yake ya kufikiri but please jamani tusiende mbali with huu uhuru,am not any one to do this but jamani wakaka msigeneralize vitu na kutoa conclusions zenu,you people just dont know how it hurts hata kama hujafanya hicho kitu.pleeeeeeeeeeeeeeeeeeeez!mara wanawake wana roho mbaya,mara malaya,mara hawjui hiki!its just not fair!kama unataka kutuelimisha,do it vizuri tu!.i wish you a lovely weekend.

tracy!
umekataza wakaka kugeneralaiz halaf wewe mwenyewe umewageneralaiz wakaka hapo red? naomba kaufafanuzi kidogo, usjali mimi kawaida nakuwa always refereee kubalance sredi baina ya defendaz na etekaz.
 
Kuchangia mada uonayo ni ya kudhalilisha ni kuipa baraka. Tatizo linakuja kwenye ladha. Uonacho wewe ni cha kumdhalilisha mwanamke, mwanamke mwingine anaweza asione hivyo. Ndo ugumu wa jambo zima unapokuja. Maadili yanatofautiana baina ya mtu na mtu.
Kaka,kuna vitu viko wazi tu,.and sijasema kila kitu ila kuna mahal mtu anaanza kutukana wanawake kabysa
 
Sio usawa tu, nadhani hata wangepata usawa wangeubomoa wenyewe. Kuna topic imeanzishwa na mtu anaejiita MwanaMtama, inasomeka *NTAMPATAJE BA MKWE WANGU???* Ndo utagundua wanawake bado wanajidhalilisha wenyewe sometimes

Ur words reflect ur inner behavior!
 
tracy!
umekataza wakaka kugeneralaiz halaf wewe mwenyewe umewageneralaiz wakaka hapo red? naomba kaufafanuzi kidogo, usjali mimi kawaida nakuwa always refereee kubalance sredi baina ya defendaz na etekaz.

AHA!ouk samahani kwa hilo,sio wote but most of them
 
Asante Rose mi kinanikera kweli and some cross the limits za ethics kabysa!

thax u2..UMEUSEMEA MOYO wangu kabisa manake awa akina hashycool na wenzak wanapenda sana na washazoea kupost za kuponda wakike....wachokoz kushinda kijit...
 
Ur words reflect ur inner behavior!
And thats the truth,.kwa wanaume wengi kugeneralize vitu vbya then thats the idea i get of them thinking about women kihvo,something which aint true
 
wakikuzalilisha sana nishtue, faza wangu anaishi sumbawanga , nitahakikisha ninawashuhulikia kiintelijensia.

sawasawa na tukichanganye na bibi yangu aliyeko lagos kuwatich mawitch wakule basi watakoma awa wachokozi..
 
thax u2..UMEUSEMEA MOYO wangu kabisa manake awa akina hashycool na wenzak wanapenda sana na washazoea kupost za kuponda wakike....wachokoz kushinda kijit...

:love:
 
Wanaume ambao wanadhalilisha wanawake kupitia fikra zao na maneno yao hata matendo yao kwa wanawake si mazuri.......Fikra ya mtu ina-reflect kile atakacho mtendea mwanamke.Nimechoka na hizo mada na naamini si ukweli tunapokea kule bali bitterness.Fikiria mtu anasema wewe u malaya kama hujaolewa na bikira,kama nilimpenda mwanaume na nikamheshimu kumpa sehemu ya mwili wangu,umalaya wangu ni nini,wakti mwingine nina malengo sahihi na mwanume na yeye anachokisema ndicho ninachohitaji kwa mwanaume,akigeuka akaniacha baada ya kulala nami,mi nina kosa gani,sikijui kilichokuwa kwenye moyo wake,kwamba ni ku hit and run,pengine nilimfikiria kuwa mume wangu in the near future,lakini mtu anasema malaya,such an insensitive generalisation,hakuna mtu anapenda kulala lala ovyo na wanaume,most of us tungependa walio tu bikiri wawe waume zetu.......tufundishane kwa upendo na kujadili bila kuumiza au kuzidisha majeraha ambayo watu tayari wanayo.
 
umeusemea moyo mama......hongera
 
Back
Top Bottom