hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,837
Asante Hashycool,naamini utapunguza uchokozi wako kama Rose1980 alivyosema.
cross mai hat hop tu dai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Hashycool,naamini utapunguza uchokozi wako kama Rose1980 alivyosema.
:welcome::welcome:
cross mai hat hop tu dai
Wanaume ambao wanadhalilisha wanawake kupitia fikra zao na maneno yao hata matendo yao kwa wanawake si mazuri.......Fikra ya mtu ina-reflect kile atakacho mtendea mwanamke.Nimechoka na hizo mada na naamini si ukweli tunapokea kule bali bitterness.Fikiria mtu anasema wewe u malaya kama hujaolewa na bikira,kama nilimpenda mwanaume na nikamheshimu kumpa sehemu ya mwili wangu,umalaya wangu ni nini,wakti mwingine nina malengo sahihi na mwanume na yeye anachokisema ndicho ninachohitaji kwa mwanaume,akigeuka akaniacha baada ya kulala nami,mi nina kosa gani,sikijui kilichokuwa kwenye moyo wake,kwamba ni ku hit and run,pengine nilimfikiria kuwa mume wangu in the near future,lakini mtu anasema malaya,such an insensitive generalisation,hakuna mtu anapenda kulala lala ovyo na wanaume,most of us tungependa walio tu bikiri wawe waume zetu.......tufundishane kwa upendo na kujadili bila kuumiza au kuzidisha majeraha ambayo watu tayari wanayo.
tusemeni amensawasawa na tukichanganye na bibi yangu aliyeko lagos kuwatich mawitch wakule basi watakoma awa wachokozi..
mmmmhhhh jamani...
ubaya ni hatujui nani anaaka kujua nini au anataka kujifunza nini
sababu mtu akifungua thread kuhusu wanawake...
lazima aichakachue hata ule ujumbe unaondoka..
mmmm lakini hii ndo JF na JF nddo sisi..
mwana wa pekee wa mzee denzi mbona unalia? wamekuibia hela yako ya saloon nini?
unapokula klorokwini hautakiwi kukazanisha misuli, heb jaribu tena ukiwa umelegeza misuli kidogo.mmmhhh jamani ni kichwaa tuuu..
nimejaribu kuzilamba hizo klorokwini hata hazisaaidiii
mmmhhh ngija nijaribu panadol
Naunga mkono hoja!Thnx Tracy!
hivi na wewe pia wamekuzalilisha? dah!naunga pia ila kama wanaume wanataka kutuchambua humu basi wawe wanatumia lugha nzuri.
Naona wanaume sasa mnataka vichapo.
Wanaume ambao wanadhalilisha wanawake kupitia fikra zao na maneno yao hata matendo yao kwa wanawake si mazuri.......Fikra ya mtu ina-reflect kile atakacho mtendea mwanamke.Nimechoka na hizo mada na naamini si ukweli tunapokea kule bali bitterness.Fikiria mtu anasema wewe u malaya kama hujaolewa na bikira,kama nilimpenda mwanaume na nikamheshimu kumpa sehemu ya mwili wangu,umalaya wangu ni nini,wakti mwingine nina malengo sahihi na mwanume na yeye anachokisema ndicho ninachohitaji kwa mwanaume,akigeuka akaniacha baada ya kulala nami,mi nina kosa gani,sikijui kilichokuwa kwenye moyo wake,kwamba ni ku hit and run,pengine nilimfikiria kuwa mume wangu in the near future,lakini mtu anasema malaya,such an insensitive generalisation,hakuna mtu anapenda kulala lala ovyo na wanaume,most of us tungependa walio tu bikiri wawe waume zetu.......tufundishane kwa upendo na kujadili bila kuumiza au kuzidisha majeraha ambayo watu tayari wanayo.
hivi na wewe pia wamekuzalilisha? dah!
unapokula klorokwini hautakiwi kukazanisha misuli, heb jaribu tena ukiwa umelegeza misuli kidogo.
shetani ametupitikia! wakikuzalilisha tena nishtue, yaani siwezi kabisa kuruhusu minjemba imzalilishe husninyo mbele ya macho yangu. gademu!tena sana. Kwanini mnakuwa hivyo nyie maklorokwini na mapanado.?
tena sana. Kwanini mnakuwa hivyo nyie maklorokwini na mapanado.?
shetani ametupitikia! wakikuzalilisha tena nishtue, yaani siwezi kabisa kuruhusu minjemba imzalilishe husninyo mbele ya macho yangu. gademu!
wewe hawajakuzalilisha?, wakikuzalilisha usiache kuripoti kwangu, mimi ni natural born female protector.mmmhhh jamani mbona nilikuwa nailamba taratibu tu..
nilifunga tu jicho kidogo tu.
mmmhh mie nahamia Nurofine saa.
haya ma Klorokwin nasikia yanawapa wayu kichaa..
hahhaaah lol