Topic za kugeneralize na kudhalilisha wanawake

Wanaume ambao wanadhalilisha wanawake kupitia fikra zao na maneno yao hata matendo yao kwa wanawake si mazuri.......Fikra ya mtu ina-reflect kile atakacho mtendea mwanamke.Nimechoka na hizo mada na naamini si ukweli tunapokea kule bali bitterness.Fikiria mtu anasema wewe u malaya kama hujaolewa na bikira,kama nilimpenda mwanaume na nikamheshimu kumpa sehemu ya mwili wangu,umalaya wangu ni nini,wakti mwingine nina malengo sahihi na mwanume na yeye anachokisema ndicho ninachohitaji kwa mwanaume,akigeuka akaniacha baada ya kulala nami,mi nina kosa gani,sikijui kilichokuwa kwenye moyo wake,kwamba ni ku hit and run,pengine nilimfikiria kuwa mume wangu in the near future,lakini mtu anasema malaya,such an insensitive generalisation,hakuna mtu anapenda kulala lala ovyo na wanaume,most of us tungependa walio tu bikiri wawe waume zetu.......tufundishane kwa upendo na kujadili bila kuumiza au kuzidisha majeraha ambayo watu tayari wanayo.

Very true my dia,alisahau mambo mengi b4 hajaweka wote kwenye kundi mmja..and the fact kuwa ni wanawake tu ndo wanapondwa na kutukanwa,ubinadamu umepungua!
 
mmmmhhhh jamani...
ubaya ni hatujui nani anaaka kujua nini au anataka kujifunza nini
sababu mtu akifungua thread kuhusu wanawake...
lazima aichakachue hata ule ujumbe unaondoka..

mmmm lakini hii ndo JF na JF nddo sisi..
 
mwana wa pekee wa mzee denzi mbona unalia? wamekuibia hela yako ya saloon nini?
 
mmmhhh jamani ni kichwaa tuuu..
nimejaribu kuzilamba hizo klorokwini hata hazisaaidiii

mmmhhh ngija nijaribu panadol
 
mbona wanawake hao hao ndio huwa wanajianika tabia zao hapa?
 
mmmhhh jamani ni kichwaa tuuu..
nimejaribu kuzilamba hizo klorokwini hata hazisaaidiii

mmmhhh ngija nijaribu panadol
unapokula klorokwini hautakiwi kukazanisha misuli, heb jaribu tena ukiwa umelegeza misuli kidogo.
 
Wanaume ambao wanadhalilisha wanawake kupitia fikra zao na maneno yao hata matendo yao kwa wanawake si mazuri.......Fikra ya mtu ina-reflect kile atakacho mtendea mwanamke.Nimechoka na hizo mada na naamini si ukweli tunapokea kule bali bitterness.Fikiria mtu anasema wewe u malaya kama hujaolewa na bikira,kama nilimpenda mwanaume na nikamheshimu kumpa sehemu ya mwili wangu,umalaya wangu ni nini,wakti mwingine nina malengo sahihi na mwanume na yeye anachokisema ndicho ninachohitaji kwa mwanaume,akigeuka akaniacha baada ya kulala nami,mi nina kosa gani,sikijui kilichokuwa kwenye moyo wake,kwamba ni ku hit and run,pengine nilimfikiria kuwa mume wangu in the near future,lakini mtu anasema malaya,such an insensitive generalisation,hakuna mtu anapenda kulala lala ovyo na wanaume,most of us tungependa walio tu bikiri wawe waume zetu.......tufundishane kwa upendo na kujadili bila kuumiza au kuzidisha majeraha ambayo watu tayari wanayo.

nafikiri chozi letu ndio furaha yao hawa watu.
Ila moyoni mwao wanajua kama wao bila sisi hawakamiliki.
 
unapokula klorokwini hautakiwi kukazanisha misuli, heb jaribu tena ukiwa umelegeza misuli kidogo.

mmmhhh jamani mbona nilikuwa nailamba taratibu tu..
nilifunga tu jicho kidogo tu.

mmmhh mie nahamia Nurofine saa.
haya ma Klorokwin nasikia yanawapa wayu kichaa..
hahhaaah lol
 
tena sana. Kwanini mnakuwa hivyo nyie maklorokwini na mapanado.?
shetani ametupitikia! wakikuzalilisha tena nishtue, yaani siwezi kabisa kuruhusu minjemba imzalilishe husninyo mbele ya macho yangu. gademu!
 
mmmhhh watasigizi pombe..
shetani au nyie wanawake ndo mnatufanyaga mpaka tumekuwa hivi ..
mmmhh jibu huta kosa dear
 
shetani ametupitikia! wakikuzalilisha tena nishtue, yaani siwezi kabisa kuruhusu minjemba imzalilishe husninyo mbele ya macho yangu. gademu!

nitakushtua na ukishindwa kuwafanyizia hayo manjemba ujue kesi unaibeba
 
mmmhhh jamani mbona nilikuwa nailamba taratibu tu..
nilifunga tu jicho kidogo tu.

mmmhh mie nahamia Nurofine saa.
haya ma Klorokwin nasikia yanawapa wayu kichaa..
hahhaaah lol
wewe hawajakuzalilisha?, wakikuzalilisha usiache kuripoti kwangu, mimi ni natural born female protector.

pliz usiache dozi ya klorokwini, mwenzio ntakosa soko ujue.
 
Back
Top Bottom