Toroka kijijini uje Dar

Toroka kijijini uje Dar

Kisha wanaingia vichakani..
Mkuu wanaume wa Pwani wanakuwa upande upi wa dar au mikoani. Nataka kuweka uzi wao wanao kogeshwa na maji ya mawaridi na midalasini[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu wanaume wa Pwani wanakuwa upande upi wa dar au mikoani. Nataka kuweka uzi wao wanao kogeshwa na maji ya mawaridi na midalasini[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pwani sio mkoani..ukishavuka Pwani ndio inaanza mikoani
 
Duh!! alafu utakuta wenyewe wanajisifu kwamba akila mwanaume wa Dar lazima fanyiwe operesheni.Kisa?wanaringia uwezo wao mkubwa wa kuyashusha bila matatizo.
Haha kama wanaUwezo wakupakia madude makubwa na magumu hvo basi na uwezo wakuyatoa vzr wanao haha [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Usukumani ukileta izo sijui pilau,biliani,chips etc watu watatafuna tafuna kupoteza muda huku wakisubiri chakula wale
 
ile chips yai concert ambayo nasikia kuwa imefanyika Dar imeshaisha mkuu?
 
Nimepitia threads mbali mbali za vijana wa mikoani(vijijini) wakijinasibu kwa kula vyakula vigumu, eti vinatia nguvu (!?) ikiwemo za kiume huku wakitulalamikia eti wanaume wa Dar hatuna nguvu(wanaolalamika wanaume lakini) wana insist chakula cha chips.Dar kuna vyakula vingi mfano ugali sembe,pilau,wali,biriani,pweza,samaki,ngisi,chapati,kahawa,chips,kuku,mayai,dagaa kamba,matembele,sukuma wiki,mnafu n.k. Amini nakwambia kama uko kijijini unashindia michembe,kichuli,dagaa,fulu,mbege,komoni na kende za mbuzi toroka uje mjini ufaidi maisha.Toroka haraka uje mjini..

1.Vyakula vya Mjini

View attachment 375084

pilau
View attachment 375085 View attachment 375087
Pweza na supu yake na limao pembeni

View attachment 375088
viazi vya kuaanga/chips
View attachment 375089
biriani

View attachment 375090
kabab

View attachment 375092
mishikaki

View attachment 375093

Samaki wa baharini aina ya ngulu,tango na kitunguuView attachment 375094
ugalu samaki

VS

2.Vyakula vya kijijini

View attachment 375095 View attachment 375098

ugali wa udaga

View attachment 375101

Dona,bamia,mwziwa

View attachment 375102

Michembe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Naona MANAMBA wamekuja kivingine
 
Nimepitia threads mbali mbali za vijana wa mikoani(vijijini) wakijinasibu kwa kula vyakula vigumu, eti vinatia nguvu (!?) ikiwemo za kiume huku wakitulalamikia eti wanaume wa Dar hatuna nguvu(wanaolalamika wanaume lakini) wana insist chakula cha chips.Dar kuna vyakula vingi mfano ugali sembe,pilau,wali,biriani,pweza,samaki,ngisi,chapati,kahawa,chips,kuku,mayai,dagaa kamba,matembele,sukuma wiki,mnafu n.k. Amini nakwambia kama uko kijijini unashindia michembe,kichuli,dagaa,fulu,mbege,komoni na kende za mbuzi toroka uje mjini ufaidi maisha.Toroka haraka uje mjini..

1.Vyakula vya Mjini

View attachment 375084

pilau
View attachment 375085 View attachment 375087
Pweza na supu yake na limao pembeni

View attachment 375088
viazi vya kuaanga/chips
View attachment 375089
biriani

View attachment 375090
kabab

View attachment 375092
mishikaki

View attachment 375093

Samaki wa baharini aina ya ngulu,tango na kitunguuView attachment 375094
ugalu samaki

VS

2.Vyakula vya kijijini

View attachment 375095 View attachment 375098

ugali wa udaga

View attachment 375101

Dona,bamia,mwziwa

View attachment 375102

Michembe
Vya kijijini afyaa
 
1470197088897.jpg
1470197106634.jpg
 
Sababu kubwa ya. Kupungua nguvu za kiume sio vyakula.bali ni kwa7bu tunaona NYUCHI kila kona tunayopita.so faridikichwawazi anachukia na mizizi inamtoka mpk anataka kukatika lkn bila ya kupewa anachokitaka kwa wakati huo.lkn kijijini wanawake wanavaa vizuri.unakuwa huna hamu na mwanamke.
Pia kuna DVD za. Ngono ,clips za porn tofauti ambazo zinachangia ktk kupunguza nguvu za kiume.lkn kwa upande wa vijijini hamna hivo vitu
 
Back
Top Bottom