Toroka kijijini uje Dar

Toroka kijijini uje Dar

mada za wanaume wa dar vs wa mikoani zina fasihi nzito (visa) hujengwa kwa picha yenye mashambulio ya pande mbili na kumpa burudani ya kusuuza moyo msomaji. upande wangu hakika hunifungulia siku vema na kunisahaulisha shinikizo za kisiasa. heko mleta uzi. hii ndiyo raha ya JF kuna ya kuhuzunisha, ya kujifunza, ya kusikitisha na ya burudani.
 
Huo ugali wa mtama unawabaka wanaume wa mkoa, maana gogo lake linafumua marinda na damu juu ni majanga tupu..[emoji12] [emoji12] [emoji12]
ahahah..bahatika kulifumania limeshushwa kichakani haki ya nani unaweza kujiuliza huyu binadamu aliyefanya hivi au la? kisha mwanaume zamani amejisosela na majani ameshasepa
 
Michembe ndio nini?
Ni viazi vilivyokatwa/chepwa katika vipande vidogo kisha kukaushwa juani mkuu.Husagwa na kuliwa hata baada ya mwaka kama ugali.Vinapatikana sana anapotoka mwenyekiti wa chama cha taifa
 
Nimepitia threads mbali mbali za vijana wa mikoani(vijijini) wakijinasibu kwa kula vyakula vigumu, eti vinatia nguvu (!?) ikiwemo za kiume huku wakitulalamikia eti wanaume wa Dar hatuna nguvu(wanaolalamika wanaume lakini) wana insist chakula cha chips.Dar kuna vyakula vingi mfano ugali sembe,pilau,wali,biriani,pweza,samaki,ngisi,chapati,kahawa,chips,kuku,mayai,dagaa kamba,matembele,sukuma wiki,mnafu n.k. Amini nakwambia kama uko kijijini unashindia michembe,kichuli,dagaa,fulu,mbege,komoni na kende za mbuzi toroka uje mjini ufaidi maisha.Toroka haraka uje mjini..

1.Vyakula vya Mjini

View attachment 375084

pilau
View attachment 375085 View attachment 375087
Pweza na supu yake na limao pembeni

View attachment 375088
viazi vya kuaanga/chips
View attachment 375089
biriani

View attachment 375090
kabab

View attachment 375092
mishikaki

View attachment 375093

Samaki wa baharini aina ya ngulu,tango na kitunguuView attachment 375094
ugalu samaki

VS

2.Vyakula vya kijijini

View attachment 375095 View attachment 375098

ugali wa udaga

View attachment 375101

Dona,bamia,mwziwa

View attachment 375102

Michembe
kijijini ni shida! yaani watu wanakunya njiani yani! sijui ni shauli ya hiyo mivyakula migumu!
 
hahahahaha! mkuu umeua kabisa....haya sasa, ngoja tuone wale wanaotudharau sisi wanaume wa Dar tunaokula kila aina ya vyakula vinavoongeza NGUVU ZA KIUME.
 
Screenshot_2016-08-03-12-30-46.png

dar hii watu wazima mpaka wapige kolabo, mmoja pumzi lazima ikate hatobozi.
 
Ila ukweli n.kwamba watu weng wa dar hushindia mlo mmoja kwa siku,sidhan km kiafya watakuwa sawa na kjn wa mbeya au moshi anaweza kula mala nne kwa siku na milo ya afya akashiba......
Takwimu za Dr Mpango, Dar ndio ina watu wachache wanaoishi kwa shida ikiwemo kukosa milo mitatu. Ikifuatiwa na Klm. Arusha iko sijui ya tano, Mwanza inashindana na Kigoma kwa shida. Kwahio ukizungumzia kushindia mlo mmoja mikoani ndio wanaongoza si Dar.

Ushawahi kusikia Dar kuna njaa? Dar hawalimi chochote zaidi ya mchicha lakini njaa haiwahusu inahusu mikoani huko tena mikoa inayolima hicho hicho chakula. Hii ina nikumbusha UK, unakula machungwa,maembe,mananasi mmwaka mzima na hakuna kinacholimwa hapo Uk, ila sisi huku TZ tunaolima embe tunakula kwa msimu, chungwa kwa msimu n.k.
 
Back
Top Bottom