Torture (Kutesa)

Torture (Kutesa)

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,108
Reaction score
5,110
Leo twitani kumechafuka na picha ya mtu anayeteswa kwa kuning’ining’zwa kama mshikaki.Ni jambo la kuhuzunisha sana.

Naomba nihitilafiane na wengi ambao wamekilaani kitendo hiki ingawa nami sikiungi mkono ila kwa masharti.

Mahakamani kuna mtu kaelezea alivyoteswa na askari Polisi nami nakubaliana na askari kutumia mateso kama njia ya kupata habari ambayo inaweza kusaidia kuokoa maisha ya wengi.Hili linafanyika nchi nyingi na watu kama wamarekani wanaita “enhanced interrogation” ambapo yamo hata yale mateso maarufu ya “water boarding”.

Tofauti na wenzetu ambao hukusanya taarifa na kumhoji mtuhumiwa kwa muda mrefu na kujiridhisha kuwa kuna habari inafichwa, kwetu sisi kama ilivyosemekana mahakamani within hours mtu keshapelekwa katika mateso makubwa na ya ajabu.

Hakuhojiwa hata na wapelelezi tofauti na kisha ku triangulate information ili kujua palipo na wingu.Ni kukamata na kumpeleka mtu katika mateso makubwa.Jambo la pili ni ukubwa wa kosa, kama waliopitia mikononi mwa Polisi wataamua kufunguka kuna watu ambao makosa yao ni madogo sana lakini walikiona cha moto.

Napendekeza PGO iwekewe kipengere cha “enhanced interrogation” na utaratibu uwekwe wazi ili ijulikane ni nani anayestahili kuamrisha haya yafanyike na kwa kosa gani.Isiwe kila askari ana uwezo na mamlaka hayo.

Naamini kuna mahali mateso haya yamesaidia hasa katika kupata silaha zilizotumika katika matukio lakini pia kuna uwezekano kuna watu wamepitia jahanamu hii bila kuwa na hatia.Marais wetu wanaogopa kusaini adhabu ya kifo kwa hofu hii kuu ya uwezekano wa kumyonga mtu asiye na kosa.

Ni UWELEDI versus MABAVU!!
 
mbwa wee kalale huko! angepigwa mwanamke wako ndio ungeandika kiakili
Hii hapa
Vibrant_democracy_ndio_kufunga_watuhumiwa_hivi_kuwatesa_wakiwa_uchi_wa_mnyama%3F_Kuna_tofauti_...jpg
 
Enzi za Zombe, ukiwa na kosa au huna kosa utakiri tu. Utaambiwa kalia chupa, minywa kende, pigwa shoti za umeme, mwagiwa maji baridi hadi utakiri kuwa wewe ni jambazi sugu wakati hata kuku hujawahi iba.
 
Leo twitani kumechafuka na picha ya mtu anayeteswa kwa kuning’ining’zwa kama mshikaki.Ni jambo la kuhuzunisha sana.

Naomba nihitilafiane na wengi ambao wamekilaani kitendo hiki ingawa nami sikiungi mkono ila kwa masharti.

Mahakamani kuna mtu kaelezea alivyoteswa na askari Polisi nami nakubaliana na askari kutumia mateso kama njia ya kupata habari ambayo inaweza kusaidia kuokoa maisha ya wengi.Hili linafanyika nchi nyingi na watu kama wamarekani wanaita “enhanced interrogation” ambapo yamo hata yale mateso maarufu ya “water boarding”.

Tofauti na wenzetu ambao hukusanya taarifa na kumhoji mtuhumiwa kwa muda mrefu na kujiridhisha kuwa kuna habari inafichwa, kwetu sisi kama ilivyosemekana mahakamani within hours mtu keshapelekwa katika mateso makubwa na ya ajabu.Hakuhojiwa hata na wapelelezi tofauti na kisha ku triangulate information ili kujua palipo na wingu.Ni kukamata na kumpeleka mtu katika mateso makubwa.Jambo la pili ni ukubwa wa kosa,kama waliopitia mikononi mwa Polisi wataamua kufunguka kuna watu ambao makosa yao ni madogo sana lakini walikiona cha moto.

Napendekeza PGO iwekewe kipengere cha “enhanced interrogation” na utaratibu uwekwe wazi ili ijulikane ni nani anayestahili kuamrisha haya yafanyike na kwa kosa gani.Isiwe kila askari ana uwezo na mamlaka hayo.

Naamini kuna mahali mateso haya yamesaidia hasa katika kupata silaha zilizotumika katika matukio lakini pia kuna uwezekano kuna watu wamepitia jahanamu hii bila kuwa na hatia.Marais wetu wanaogopa kusaini adhabu ya kifo kwa hofu hii kuu ya uwezekano wa kumyonga mtu asiye na kosa.

Ni UWELEDI versus MABAVU!!
Mimi nimeelewa.
 
Tatizo la polisi wa Tanzania ni kuwa hawajui kabisa fani ya upelelezi,wao upelelezi ni kupiga na kutesa mpaka ukiri lolote watakalo kubambikia.
Usiwape excuse yoyote hawa ni ma sadistic morons tuu
Hawapendi(hawajui na hawana uwezo) kutumia akili zaidi.Muhalifu wa kweli na kwenye matukio makubwa huwa anatumia akili "mingi" mnoo!Mpelelezi lazima ujue na uwe na uwezo wa kumtangulia mbele.Tanzania yawezekana ni wapelelezi wachache sana au "wamekufa" wa kutumia akili na weledi.
 
Enzi za Zombe, ukiwa na kosa au huna kosa utakiri tu. Utaambiwa kalia chupa, minywa kende, pigwa shoti za umeme, mwagiwa maji baridi hadi utakiri kuwa wewe ni jambazi sugu wakati hata kuku hujawahi iba.
Halafu na vitu(mali) pamoja na fedha za watuhumiwa wanachukua kwa nguvu ili wakajenge mijumba na kuwa na mitala.
 
Tanzania Polisi ni waonevu,mambo ya siasa wasiingilie,wabaki kupambana na uhalifu.
Mbowe si gaidi.
 
Leo twitani kumechafuka na picha ya mtu anayeteswa kwa kuning’ining’zwa kama mshikaki.Ni jambo la kuhuzunisha sana.

Naomba nihitilafiane na wengi ambao wamekilaani kitendo hiki ingawa nami sikiungi mkono ila kwa masharti.

Mahakamani kuna mtu kaelezea alivyoteswa na askari Polisi nami nakubaliana na askari kutumia mateso kama njia ya kupata habari ambayo inaweza kusaidia kuokoa maisha ya wengi.Hili linafanyika nchi nyingi na watu kama wamarekani wanaita “enhanced interrogation” ambapo yamo hata yale mateso maarufu ya “water boarding”.

Tofauti na wenzetu ambao hukusanya taarifa na kumhoji mtuhumiwa kwa muda mrefu na kujiridhisha kuwa kuna habari inafichwa, kwetu sisi kama ilivyosemekana mahakamani within hours mtu keshapelekwa katika mateso makubwa na ya ajabu.Hakuhojiwa hata na wapelelezi tofauti na kisha ku triangulate information ili kujua palipo na wingu.Ni kukamata na kumpeleka mtu katika mateso makubwa.Jambo la pili ni ukubwa wa kosa,kama waliopitia mikononi mwa Polisi wataamua kufunguka kuna watu ambao makosa yao ni madogo sana lakini walikiona cha moto.

Napendekeza PGO iwekewe kipengere cha “enhanced interrogation” na utaratibu uwekwe wazi ili ijulikane ni nani anayestahili kuamrisha haya yafanyike na kwa kosa gani.Isiwe kila askari ana uwezo na mamlaka hayo.

Naamini kuna mahali mateso haya yamesaidia hasa katika kupata silaha zilizotumika katika matukio lakini pia kuna uwezekano kuna watu wamepitia jahanamu hii bila kuwa na hatia.Marais wetu wanaogopa kusaini adhabu ya kifo kwa hofu hii kuu ya uwezekano wa kumyonga mtu asiye na kosa.

Ni UWELEDI versus MABAVU!!
Nilikataa kata kata hizi kazi polisi, usalama, jeshi na aina yoyote ya kazi inayohusiana na hii.

Sasa hata ukipigwa Msumari wa jichoni kama huna unachokijua ndio utakisema??

ina maana gani?
 
Leo twitani kumechafuka na picha ya mtu anayeteswa kwa kuning’ining’zwa kama mshikaki.Ni jambo la kuhuzunisha sana.

Naomba nihitilafiane na wengi ambao wamekilaani kitendo hiki ingawa nami sikiungi mkono ila kwa masharti.

Mahakamani kuna mtu kaelezea alivyoteswa na askari Polisi nami nakubaliana na askari kutumia mateso kama njia ya kupata habari ambayo inaweza kusaidia kuokoa maisha ya wengi.Hili linafanyika nchi nyingi na watu kama wamarekani wanaita “enhanced interrogation” ambapo yamo hata yale mateso maarufu ya “water boarding”.

Tofauti na wenzetu ambao hukusanya taarifa na kumhoji mtuhumiwa kwa muda mrefu na kujiridhisha kuwa kuna habari inafichwa, kwetu sisi kama ilivyosemekana mahakamani within hours mtu keshapelekwa katika mateso makubwa na ya ajabu.Hakuhojiwa hata na wapelelezi tofauti na kisha ku triangulate information ili kujua palipo na wingu.Ni kukamata na kumpeleka mtu katika mateso makubwa.Jambo la pili ni ukubwa wa kosa,kama waliopitia mikononi mwa Polisi wataamua kufunguka kuna watu ambao makosa yao ni madogo sana lakini walikiona cha moto.

Napendekeza PGO iwekewe kipengere cha “enhanced interrogation” na utaratibu uwekwe wazi ili ijulikane ni nani anayestahili kuamrisha haya yafanyike na kwa kosa gani.Isiwe kila askari ana uwezo na mamlaka hayo.

Naamini kuna mahali mateso haya yamesaidia hasa katika kupata silaha zilizotumika katika matukio lakini pia kuna uwezekano kuna watu wamepitia jahanamu hii bila kuwa na hatia.Marais wetu wanaogopa kusaini adhabu ya kifo kwa hofu hii kuu ya uwezekano wa kumyonga mtu asiye na kosa.

Ni UWELEDI versus MABAVU!!
Sasa kutesa mtu mpaka aseme baada ya maumivu,haiwezi kuwa jambo la weredi,zaidi ni ujinga na kukosa akili,mateso yakitumika kwa watu waliokamatwa kwenye vita,mfano kama wale magaidi angalau inaweza kusaidia.
FBI waliweza kukamata mtu aliyeshiriki kulipua ubalozi wao,mpaka wanakuja bongo,walijua gereji ya kimara alipotengenezea vilipuzi,mpaka alipokuwa anaishi magomeni,waliyajua yote hayo bila kupiga mtu Wala kungoa kucha,wakati huo polisi yetu ilikuwa inakamata watu na kuwalundika tu
 
Swadakta. Hii ndio ujinga wa hizi kazi. Yaani unamtesa mtu mpaka aseme. Sasa kama hana cha kusema? eti enehenced interrogation. Mimi naiita stupid interrogation.

Ni mbinu tu walizojiwekea hawa watunza mabunduki kuhalalisha ushetani wao.
 
Back
Top Bottom