Kuna tofauti ya " kupigana " na "kupigwa", baada ya mechi tutaeleza vizuriWakuu,
Hii ni vita kamili, Total War! National Al Ahly ni klabu ya tatu kwa ubora duniani na tunaheshimu hilo ila Jumanne ijayo kwetu ni vita kamili! Vitapiganwa vita kamili pale kwa Mkapa!
Hii vita hawatapigana wachezaji tu pale uwanjani, tutapigana kila shabiki, kiongozi na Mtanzania mwenye mapenzi mema. Tutawafirigisa hadi mtuweke kwenye Piramids Mesium zenu!
Total War in Dar ni mapigano ndani ya ardhi yetu wenyewe na hatutokubali mtoke salama! Jiandaeni kwa TOTAL WAR IN DAR, VITA KAMILI! MAPIGANO KAMILI!
LAZIMA KIELEWEKE!!!!
Tupiga mpira wa akili sio ule wa kulima na miguuMsing'oe viti sasa, kama tulivyokubaliana silaha ni miguu, mbio na vichwa tu.
Hakuna ujinga kama huu simba wamefanya unaposema total war kwenye mchezo wa mpira ambao msingi wake ni fair play unamaana gani?Wakuu,
Hii ni vita kamili, Total War! National Al Ahly ni klabu ya tatu kwa ubora duniani na tunaheshimu hilo ila Jumanne ijayo kwetu ni vita kamili! Vitapiganwa vita kamili pale kwa Mkapa!
Hii vita hawatapigana wachezaji tu pale uwanjani, tutapigana kila shabiki, kiongozi na Mtanzania mwenye mapenzi mema. Tutawafirigisa hadi mtuweke kwenye Piramids Mesium zenu!
Total War in Dar ni mapigano ndani ya ardhi yetu wenyewe na hatutokubali mtoke salama! Jiandaeni kwa TOTAL WAR IN DAR, VITA KAMILI! MAPIGANO KAMILI!
LAZIMA KIELEWEKE!!!!
Mbona una hasira sana? Kunywa maji kidogo [emoji38]Hakuna ujinga kama huu simba wamwfanya unaposema total war kwenye mchezi wa mpira ambao msingi wake ni fair play unamaana gani?
Ni vita ipi?,mpira ni vita?waratabdikwa simba hadi watakunya kunya uwanjani