BJB FC
JF-Expert Member
- Aug 25, 2015
- 2,064
- 2,312
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umekariri kutoka kwa mchambuzi gani wa soka la bongo hapa??????Hutaki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umekariri kutoka kwa mchambuzi gani wa soka la bongo hapa??????Hutaki?
Yaaaaaani Utopolo bhana mnataka kujifananisha na Simba,Ni vizuri wanasimba tukajiandaa kisaikolojia lakini ukweli lazima niuseme. Kwa timu ile nilioiona ikicheza club bingwa ya dunia kichapo tutachezea hatuna uwezo huo.
Sawa Shabiki maandazi.Yaaaaaani Utopolo bhana mnataka kujifananisha na Simba,
Nyie hata mbeya city, kagera mnawaogopa hadi mnatamani kujitoa kwenye ligi.
Sisi Simba hao akina Al Ahly ndio level zetu.
Wewe ni ke?Aisee sio mchezo itabid tushinde tyu
Si hata na AS Vita mlisema Simba itafungwa nyie vidimbwiNi vizuri wanasimba tukajiandaa kisaikolojia lakini ukweli lazima niuseme. Kwa timu ile nilioiona ikicheza club bingwa ya dunia kichapo tutachezea hatuna uwezo huo.
Huu Ni ujinga na kutokufahamu maana na mazingira ya total war.Total war hutumika pale ambapo majeshi yanakaribia kwenye stalemate na siyo mwanzoni mwa vita na jeshi lako bado linafanya vizuri dhidi ya adui.Total war imenajisiwa.Wakuu,
Hii ni vita kamili, Total War! National Al Ahly ni klabu ya tatu kwa ubora duniani na tunaheshimu hilo ila Jumanne ijayo kwetu ni vita kamili! Vitapiganwa vita kamili pale kwa Mkapa!
Hii vita hawatapigana wachezaji tu pale uwanjani, tutapigana kila shabiki, kiongozi na Mtanzania mwenye mapenzi mema. Tutawafirigisa hadi mtuweke kwenye Piramids Mesium zenu!
Total War in Dar ni mapigano ndani ya ardhi yetu wenyewe na hatutokubali mtoke salama! Jiandaeni kwa TOTAL WAR IN DAR, VITA KAMILI! MAPIGANO KAMILI!
LAZIMA KIELEWEKE!!!!