Total war in Dar, Vita kamili

Total war in Dar, Vita kamili

Ni vizuri wanasimba tukajiandaa kisaikolojia lakini ukweli lazima niuseme. Kwa timu ile nilioiona ikicheza club bingwa ya dunia kichapo tutachezea hatuna uwezo huo.
Yaaaaaani Utopolo bhana mnataka kujifananisha na Simba,
Nyie hata mbeya city, kagera mnawaogopa hadi mnatamani kujitoa kwenye ligi.
Sisi Simba hao akina Al Ahly ndio level zetu.
 
Yaaaaaani Utopolo bhana mnataka kujifananisha na Simba,
Nyie hata mbeya city, kagera mnawaogopa hadi mnatamani kujitoa kwenye ligi.
Sisi Simba hao akina Al Ahly ndio level zetu.
Sawa Shabiki maandazi.
 
Kweli umbumbumbu ni kilema. Hivi huoni aibu kuwaeleza wenzako kwamba Ahly ni ya 3 kwa ubora duniani!? Any ways basi tutajie tu ya 1 na ya 2
 
Simba Mnyama Taifa kubwa

Al Ahly lazima akalishwe Kwa Mkapa iwe kimoko cha nguruwe au zaidi lakn point TATU NI MUHIMU

Pia, nyinyi utopolo mna kila sababu ya kutuombea tushinde ili tuzidi kukusanya points zitakazoliwezesha Taifa letu kuingiza timu nne msimu ujao ikiwemo nyinyi kushiriki CAF champ league kupitia viti maalumu kama ilivyo kawaida yenu

Mungu ibariki SIMBA, Mungu ibariki Tanzania

#SimbaNguvuMoja
#TotalWarInDar
 
Ni vizuri wanasimba tukajiandaa kisaikolojia lakini ukweli lazima niuseme. Kwa timu ile nilioiona ikicheza club bingwa ya dunia kichapo tutachezea hatuna uwezo huo.
Si hata na AS Vita mlisema Simba itafungwa nyie vidimbwi
 
Wakuu,

Hii ni vita kamili, Total War! National Al Ahly ni klabu ya tatu kwa ubora duniani na tunaheshimu hilo ila Jumanne ijayo kwetu ni vita kamili! Vitapiganwa vita kamili pale kwa Mkapa!

Hii vita hawatapigana wachezaji tu pale uwanjani, tutapigana kila shabiki, kiongozi na Mtanzania mwenye mapenzi mema. Tutawafirigisa hadi mtuweke kwenye Piramids Mesium zenu!

Total War in Dar ni mapigano ndani ya ardhi yetu wenyewe na hatutokubali mtoke salama! Jiandaeni kwa TOTAL WAR IN DAR, VITA KAMILI! MAPIGANO KAMILI!

LAZIMA KIELEWEKE!!!!
Huu Ni ujinga na kutokufahamu maana na mazingira ya total war.Total war hutumika pale ambapo majeshi yanakaribia kwenye stalemate na siyo mwanzoni mwa vita na jeshi lako bado linafanya vizuri dhidi ya adui.Total war imenajisiwa.
 
Al Ahly kama kawaida yao wanamaliza mchezo dakika 35 za kipindi cha kwanza tu mtu atakuwa kashapigwa goli 5

Kila lakheri Al Ahly
 
Back
Top Bottom