Total war in Dar, Vita kamili

Total war in Dar, Vita kamili

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Wakuu,

Hii ni vita kamili, Total War! National Al Ahly ni klabu ya tatu kwa ubora duniani na tunaheshimu hilo ila Jumanne ijayo kwetu ni vita kamili! Vitapiganwa vita kamili pale kwa Mkapa!

Hii vita hawatapigana wachezaji tu pale uwanjani, tutapigana kila shabiki, kiongozi na Mtanzania mwenye mapenzi mema. Tutawafirigisa hadi mtuweke kwenye Piramids Mesium zenu!

Total War in Dar ni mapigano ndani ya ardhi yetu wenyewe na hatutokubali mtoke salama! Jiandaeni kwa TOTAL WAR IN DAR, VITA KAMILI! MAPIGANO KAMILI!

LAZIMA KIELEWEKE!!!!
 
I hope umeamua kuweka na utani kwenye thread yako.

Screenshot_20210219-213220.png
 
Kila la heri wazee wa Khamsa khamsa!! Mjitahidi tu kutulindia heshima. Masuala ya kuingia na MAPAKA 🙀😿😾 uwanjani eti ili mpate ushindi, yanalidharirisha Taifa.
 
CEO kashamaliza mchezo unaambiwa hakuna mkate mgumu mbele ya chai
 
Naamini game tutashinda hakuna wasiwasi kikubwa tupambane tu. Yanga tuwaunge mkono simba utani wetu ubaki nyumbani hapa kusonga mbele kwa simba kunawasafishia njia na nyie kesho yenu. Kwani utajiamini kwa kumuangalia mwenzio.
 
Wakuu,

Hii ni vita kamili, Total War! National Al Ahly ni klabu ya tatu kwa ubora duniani na tunaheshimu hilo ila Jumanne ijayo kwetu ni vita kamili! Vitapiganwa vita kamili pale kwa Mkapa!

Hii vita hawatapigana wachezaji tu pale uwanjani, tutapigana kila shabiki, kiongozi na Mtanzania mwenye mapenzi mema. Tutawafirigisa hadi mtuweke kwenye Piramids Mesium zenu!

Total War in Dar ni mapigano ndani ya ardhi yetu wenyewe na hatutokubali mtoke salama! Jiandaeni kwa TOTAL WAR IN DAR, VITA KAMILI! MAPIGANO KAMILI!

LAZIMA KIELEWEKE!!!!
Kuna tofauti ya " kupigana " na "kupigwa", baada ya mechi tutaeleza vizuri
 
Wakuu,

Hii ni vita kamili, Total War! National Al Ahly ni klabu ya tatu kwa ubora duniani na tunaheshimu hilo ila Jumanne ijayo kwetu ni vita kamili! Vitapiganwa vita kamili pale kwa Mkapa!

Hii vita hawatapigana wachezaji tu pale uwanjani, tutapigana kila shabiki, kiongozi na Mtanzania mwenye mapenzi mema. Tutawafirigisa hadi mtuweke kwenye Piramids Mesium zenu!

Total War in Dar ni mapigano ndani ya ardhi yetu wenyewe na hatutokubali mtoke salama! Jiandaeni kwa TOTAL WAR IN DAR, VITA KAMILI! MAPIGANO KAMILI!

LAZIMA KIELEWEKE!!!!
Hakuna ujinga kama huu simba wamefanya unaposema total war kwenye mchezo wa mpira ambao msingi wake ni fair play unamaana gani?
Ni vita ipi?,mpira ni vita?watabadikwa mabao simba hadi watakunya uwanjani
 
Hakuna ujinga kama huu simba wamwfanya unaposema total war kwenye mchezi wa mpira ambao msingi wake ni fair play unamaana gani?
Ni vita ipi?,mpira ni vita?waratabdikwa simba hadi watakunya kunya uwanjani
Mbona una hasira sana? Kunywa maji kidogo [emoji38]
 
War in dar,total war,mwaka huu tutaona vita kila sample kwenye hii group stage
 
Ni vizuri wanasimba tukajiandaa kisaikolojia lakini ukweli lazima niuseme. Kwa timu ile nilioiona ikicheza club bingwa ya dunia kichapo tutachezea hatuna uwezo huo.
 
Back
Top Bottom