Sethshalom
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 586
- 1,013
Mkuu investments kama hizi siyo an overnight project, nilifanya kazi kwenye project moja in West Africa 2014-2015 tukasitisha kwa sababu ya Ebola ,so this year walitaka ku-mobilise old staffs lakin Corona imeingilia kati, now wanaangalia hali itakavyokua ili mwakani waendelee nayo. You can see how long it has taken. At that time we had a 2years project with 6bln $Hii porojo ya pipeline tulipigiwa toka 2017 na mradi ukazinduliwa na Magufuli na Museveni huko Tanga, tuliambiwa 2019 pipe itakuwa tayari. Mpaka leo ni porojo tupu.
Nyie mumesoma vizuri na mpo qualified? Hilo ndilo swali nyeti unalostahili kujiuliza.Tunaomba sana waziri wa kazi na ajira, mkuu wa uhamiaji, na polisi, Wakuu wa mikoa,wilaya, pia muwe wazalendo kazi zote hata za masenior yaani za mameneja ambao watashughulika na ujenzi wa hili bomba la mafuta haswa huko EACOp kazi zitolewe kwa watanzania weusi na wazawa
Sio mkajazanae wafaransa kisa hela ya bomba anatoa mfaransa haya mambo wenzetu hata Botswana hawafanyi hivi. Serikali ni supreme lazima ajira zote kuanzia main contractor and sub contractor wapewe miongozo ya kujaza nafasi kwa wingi na ujumla kwa watanzania asili yaani wazawa.
Sio mlete watu wanatoka Kenya,Uganda,Congo, waliozamia hapa nchini na vibali vyao vya kuhonga. Na Tunamuomba Superstar Freight Forwarding (SSF) kama mmoja wa macontractor naye azingatie upatikanaji wa ajira kwa watanzania kwanza sio mnatuwekea Project manager , sijui Freight manager Mzambia hayo mambo hayana nafasi katika awamu hii ya kuleta ajira kwa wananchi weusi watanzania.sijui Planner mtu katoka Togo sijui Ivorycost hayo mambo lazima yapingwe.
Nawasilisha
Mavi ya babakoNyie mumesoma vizuri na mpo qualified? Hilo ndilo swali nyeti unalostahili kujiuliza.
Umeulizwa swali, badala y kujibu umeanza kuropokwa. Jibu swali mzee. Ama huna jibu? Ikiwa hamjasoma vizuri usishangae kutuona sisi Wakenya ndio tunamwagika huko kama uji kuwafanyia kazi zenu.We Tony254 nadhani michezo ya unaoicheza pale kilimani nairobi ya kudandiwa usiilete hapa jukwaani. Choko usie mkole nyamaza.
Ni swali tu ndio nimeuliza. Waswahili husema kuuliza sio ujinga. Kama huna jibu ni kheri ukae kimya badala ya kuandika utoto.Mavi ya babako